bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,013
- 742
Nyumba ni nzuri ya kisasa ina vyumba vi 3 na vyoo vitatu ipo ndani ya fensi ina maji na umeme pia ina tank la kuhifadhiamaji. Bei yake ni laki 6 kwa mwezi mazingira yake ni mazuri mno for more details calll this 0712464777 no