House decoration .,contact -+255718930097

Baraka issa

Senior Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
169
Reaction score
50
Mawasiliano kwa anaye hitaj marembo kama hayo kenye nyumba yake
 

Attachments

  • 1451116268015.jpg
    53.6 KB · Views: 767
Dah kitu kimeng'ara mbaya aiseee!!! Wapi huko wewe?
 
Duh.... rangi kama za nasare skul....:crazy:
 
Tatizo unaremba vizuri kajumba kwako Magufuli nae anatia mkono wake hapo
 
Nilishamwambia kwenye thread Kama hii Ile alofungua kwa Kiswahili kuwa, Rangi hizo hazina mahusiano....Watu wengi hawajui kuwa Rangi zina undugu, ukipaka rangi zaidi ya moja sehem moja zipokua ndugu zitakataa Tu, hata zingae Kama kioo hazitapendeza!
 
Duh umeharibu combination ya rangi ya nyumba na nguzo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…