nenda gwami hotel ipo nyuma ya msamvu teminol ya gorafa nne au tano
Wakuu Kwa wenyeji wa mji wa Morogoro naomba kujua hotel nzuri ya kati ya Tshs. 60,000 - 70,000 Kwa night mnijulishe. Kama una namba zao za simu pia nitashukuru ukiniwekea. Nimejaribu kutafuta Kwa internet hamna cha zaidi ya Morogoro Hotel, Hilux na Nashera. Natanguliza shukrani zangu.
Kahumba lodge ni nzuri sanaaaa
Kahumba lodge ni nzuri sanaaaa
duh,mkuu huko kahumba unataka akale ngamia?
.. halafu kuna ile bro.Dito alipo RIPIla kuna hoteli moja walimkomba waziri wetu kila kitu mpaka suruali. usiende hapo. maana vyangu wa hapo hawavheki na tumbili.
Wakuu Kwa wenyeji wa mji wa Morogoro naomba kujua hotel nzuri ya kati ya Tshs. 60,000 - 70,000 Kwa night mnijulishe. Kama una namba zao za simu pia nitashukuru ukiniwekea. Nimejaribu kutafuta Kwa internet hamna cha zaidi ya Morogoro Hotel, Hilux na Nashera. Natanguliza shukrani zangu.
Mcheki Ridhiwani ndo katakeover kwa Mahotel Moro