Hotel nzuri Dar es Salaam

Wakuu asanteni sana kwa mawazo yenu nimeshift kwa sasa nipo hapa jangwani sea breeze kwakweli wife na watoto wamepapenda sana,tuendelee kutumia hela kwa ajili ya ujenzi wa taifa letu
 
Sasa hizi ndio bajeti za 100,000-150,000/- sio uulize bei za laki nanusu halafu unaishia huko rombo
 
Wakuu asanteni sana kwa mawazo yenu nimeshift kwa sasa nipo hapa jangwani sea breeze kwakweli wife na watoto wamepapenda sana,tuendelee kutumia hela kwa ajili ya ujenzi wa taifa letu
Hapa sasa ndio uko sahihi yaani pale Rombo Mkuu ulikuwa hujaitendea haki familia yako. Tumia Pesa ikuzoeee😄😄😄
 
Wakuu asanteni sana kwa mawazo yenu nimeshift kwa sasa nipo hapa jangwani sea breeze kwakweli wife na watoto wamepapenda sana,tuendelee kutumia hela kwa ajili ya ujenzi wa taifa letu
Chaguo zuri ila siyo pale Rombo..ile ni Transit Lodge tu..
 
umetisha aisee
 
Wakuu asanteni sana kwa mawazo yenu nimeshift kwa sasa nipo hapa jangwani sea breeze kwakweli wife na watoto wamepapenda sana,tuendelee kutumia hela kwa ajili ya ujenzi wa taifa letu

Hata Jangwani bado si sehemu iliyotulia akama umeenda na familia, unless kama wamebadilika...

Last time i checked, mida ya jioni huwa wanapiga piga mamiziki na makelele kibao...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…