Noel Mobeto
Member
- Sep 8, 2017
- 40
- 30
Sina mtaji. Ila nimeridhika na kuajiriwa.Kwanini usifungue pub na jiko pembeni vya kwako ili uvimanage vizuri
kwel naona umeridhikaSina mtaji. Ila nimeridhika na kuajiriwa.
asantekila la kheri
Nawezakwahyo huwezi position nyingine zaidi ya kuwa manager
Umeniwahi mkuuKwanini usifungue pub na jiko pembeni vya kwako ili uvimanage vizuri
nimekuwa meneja kwa miaka 4Anzia kwanza uhudumu, sio lazima uanze na usimamizi (u meneja)
Nakubaliana na wewe mkuu.Nimefanya kazi hotel za kitalii miaka 12 kitu kimoja nimejufunza ukitaka hotel yako ifilisike kama huwezi ku manage mwenyewe basi ajiri meneja mtanzania
Karibu hotel zote ZnZ mameneja ni wakenya,wahindi au wazungu
Watz sio waaminifu na huwa sio wabunifu na wala hawajitumi
Mmmmhh sikweli inategemea na meneja uliempata khaa mbona hata hao pia sioNimefanya kazi hotel za kitalii miaka 12 kitu kimoja nimejufunza ukitaka hotel yako ifilisike kama huwezi ku manage mwenyewe basi ajiri meneja mtanzania
Karibu hotel zote ZnZ mameneja ni wakenya,wahindi au wazungu
Watz sio waaminifu na huwa sio wabunifu na wala hawajitumi