M mamie mie Member Joined Aug 28, 2014 Posts 17 Reaction score 0 Apr 17, 2015 #1 Anahitajika kijana aliyesomea hotel management,awe anajua kupika vizuri.kama yupo anipm au anitumie cv kwenye verovice05@yahoo.com
Anahitajika kijana aliyesomea hotel management,awe anajua kupika vizuri.kama yupo anipm au anitumie cv kwenye verovice05@yahoo.com
Tamalisa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 2,542 Reaction score 907 Apr 18, 2015 #2 Ajira ngumu ajira ngumu ni ngumu kweli, lakini hii post tangu jana hakuna hata kajibu kamoja, na watu wanaosomea hiyo kozi ni wengi sana, any way labda hawajaona.
Ajira ngumu ajira ngumu ni ngumu kweli, lakini hii post tangu jana hakuna hata kajibu kamoja, na watu wanaosomea hiyo kozi ni wengi sana, any way labda hawajaona.
rhodasia mkindi New Member Joined Apr 16, 2015 Posts 3 Reaction score 0 Apr 18, 2015 #3 how if kama mimi najua kupka lkn sijasomea hotel management???
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Apr 18, 2015 #4 mamie mie said: Anahitajika kijana aliyesomea hotel management,awe anajua kupika vizuri.kama yupo anipm au anitumie cv kwenye verovice05@yahoo.com Click to expand... Wewe unatafuta Chef? Mimi nilikuwa manager wa restaurant nlikuwa napata sana shida kupata wafanyakazi.
mamie mie said: Anahitajika kijana aliyesomea hotel management,awe anajua kupika vizuri.kama yupo anipm au anitumie cv kwenye verovice05@yahoo.com Click to expand... Wewe unatafuta Chef? Mimi nilikuwa manager wa restaurant nlikuwa napata sana shida kupata wafanyakazi.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Apr 18, 2015 #5 rhodasia mkindi said: how if kama mimi najua kupka lkn sijasomea hotel management??? Click to expand... kupika nini unajua sasa?
rhodasia mkindi said: how if kama mimi najua kupka lkn sijasomea hotel management??? Click to expand... kupika nini unajua sasa?
true man zero one Member Joined Apr 12, 2015 Posts 17 Reaction score 5 Apr 18, 2015 #6 chef wa kupka au unahtaji mpsh alie somea??, kua specific