Wakuu mamkwe anakuja kunitembelea mwanza anatokea mbeya kwa gari binafsi kesho yake anasafiri kwa precisionair ya saa 12 asubuhi. Je kuna hotel yoyote nzuri karibia na uwanja wa ndege dar es salaam au ndani ya uwanja ili asipate usumbufu na foleni za asubuhi.
Cc pdidy
huko mbali...akitoka airport tu upande wa pili wa barabara kuna njia mbovumbovu inangia ndani ndani ukivuka reli tu kuna transit motel ingine....five minutes walk from the airport
Siyo njia panda ya segerea, ni njia panda ya u/ ndege. kama unatokea g/mboto upande wa kushoto baada tu ya reli ya kati. Kwa kweli ni pazuri na patulivu.
Siyo njia panda ya segerea, ni njia panda ya u/ ndege. kama unatokea g/mboto upande wa kushoto baada tu ya reli ya kati. Kwa kweli ni pazuri na patulivu.