Hotel karibia na Nyegezi

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,855
Mwenye ufaham wa hotel nzuri maeneo ya Nyegezi naomba anifahamishe
 
Ipo upande wa kushoto ukiwa unaelekea kule walipo machinga pale stend
 
kumalija HOTEL,mkono wa klia ukiwa unaingia stend ya mabas nyegez
 
nyegezi ya mwanza au? km ni mwanza zipo nyingi kuna kumalija hotel,passion hotel,tulale lodge,millenium hotel,cosmopolitan hotel,magida hotel na kilimanjaro hotel(hapa kuna night club unakula bata mpka asubuhi) zipo nyingi sana
 
mpeni na makadirio ya bei basi za huduma, chumba kwa siku
 
Nina safari ya kwenda dar,na ninapotoka ni mbali hivyo nataka nilale lodge au hotel nzuri hapo nyegezi, kama kuna mtu anafahamu hotel nzuri naomba anifahamishe budget( 10,000 - 15,000).
 
Nina safari ya kwenda dar,na ninapotoka ni mbali hivyo nataka nilale lodge au hotel nzuri hapo nyegezi, kama kuna mtu anafahamu hotel nzuri naomba anifahamishe budget( 10,000 - 15,000).
Kwa bajeti yako Passion Hotel itakufaa, chumba cha single self container lakini hakina tv Tsh 15000,ipo mita kama 60 toka stand.
 
nyegezi ya mwanza au? km ni mwanza zipo nyingi kuna kumalija hotel,passion hotel,tulale lodge,millenium hotel,cosmopolitan hotel,magida hotel na kilimanjaro hotel(hapa kuna night club unakula bata mpka asubuhi) zipo nyingi sana
Wewe kweli mkazi wa Mwanza... Zote umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…