Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,619
- 5,789
Anaitwa nan mkuu .. social media zake tum follow.. jamaa anajua aiseView attachment 3237705 Wakwetu katuwakilisha anapaswa kushikwa mkono
Ni dogo mgeni kabisa niko naye kariakoo sikuamini kama ni yeye mkuu. Ngoja nimuulize kaka.Anaitwa nan mkuu .. social media zake tum follow.. jamaa anajua aise