General Jealous
Member
- Oct 6, 2015
- 28
- 11
Kwa level gani?Habari Wasomi.
Naomba kufahamu juu ya kozi gani fupi au kozi ndefu katika vyuo ambayo unayoweza kusoma na kukupa ajira ya mapema zaidi hapa nchini?
Natanguliza shukrani zangu.
level ya chet mkuuKwa level gani?
Hiyo ya monchwari ni mbilikwambili maana sio mojakwamojaDah! Tusidanganyane kwa sasa hivi kusema usome halafu uje upate kazi ya ajira moja kwa moja kitu hicho hamna hao watu wa afya na walimu basi pia wanasota saivi
Habari Wasomi.
Naomba kufahamu juu ya kozi gani fupi au kozi ndefu katika vyuo ambayo unayoweza kusoma na kukupa ajira ya mapema zaidi hapa nchini?
Natanguliza shukrani zangu.
Tatu mzukalevel ya chet mkuu