Hospital ya dodoma ni matatizo tupu tumekuja na mgonjwa tangu saa tano asubuh had sasa hajahudumiwa na kifua kimembana sana. Kulala wawili wawili matatizo tupu.
walikuwa wanatoa chakula kwa wagonjwa waliolazwa, sasa hivi wanashindiliwa madawa bila kula, si unajua jamaa zetu dom ukame hakuna chakula? wanakufaje?
Kwa kadiri ya utafiti Dodoma ndo mkoa ulio hoi zaidi kwa huduma za kijamii hasa afya. Cha kushangaza ni kwamba ndiyo mkoa unaoongoza kwa kuunga mkono hii serikali iliyoshindwa na isiyo na dhamira ya kuleta nafuu ya watanzania. Deal with it my poor people until you wake up from your deadly sleep!
Hayo ndio matokeo ya serikali inayoendeshwa kimagumashi. Utakuta hospitali kubwa kama hiyo ya Dodoma haina hata Nebulizer inayofanya kazi, unategemea nini mgonjwa aliyebanwa na kifua ahudumiwe ipasavyo?