M Mcharo son JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 5,955 Reaction score 4,821 May 18, 2023 #21 Right eye said: Umeanza masononeko mrembo wangu kwa hii Yanga inabidi ufumbe macho tu ndio uvuke mto.. Click to expand... mafanikio haya ni faida kwa simba na kiwango cha mpira Tz. Ule woga wa kufika fainali kwa timu zetu umetoweka. Nawaona msimbazi, wakijipanga kufanya vizuri mwakani. Ndio kiwango cha mpira kinavyoongezeka
Right eye said: Umeanza masononeko mrembo wangu kwa hii Yanga inabidi ufumbe macho tu ndio uvuke mto.. Click to expand... mafanikio haya ni faida kwa simba na kiwango cha mpira Tz. Ule woga wa kufika fainali kwa timu zetu umetoweka. Nawaona msimbazi, wakijipanga kufanya vizuri mwakani. Ndio kiwango cha mpira kinavyoongezeka
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,846 May 18, 2023 #22 Kuhusu kunyanyua kombe la shirikisho wasahau. Walikuwa wanakutana na timu zilizojichokea na vitimu vya ovyoovyo mpaka walipofika hapo Sioni sababu ya kuwapa pongezi labda ingekuwa wamebaki klabu bingwa mpaka sasa hivi
Kuhusu kunyanyua kombe la shirikisho wasahau. Walikuwa wanakutana na timu zilizojichokea na vitimu vya ovyoovyo mpaka walipofika hapo Sioni sababu ya kuwapa pongezi labda ingekuwa wamebaki klabu bingwa mpaka sasa hivi
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,584 Reaction score 23,572 May 18, 2023 #23 Kalpana said: Moyo unataka akili inagoma.. Click to expand... Ukizeeka utakuwa mchawi, jifunze kuappreciate.
Kalpana said: Moyo unataka akili inagoma.. Click to expand... Ukizeeka utakuwa mchawi, jifunze kuappreciate.
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,209 Reaction score 40,651 May 18, 2023 #24 Smart AJ said: Wananchi mmekuwa na msimu bora kabisa, naiona treble msimu huu yaani NBC,FA,na CAFCC. Kazi nzuri sana,hongera sana kwa nabi,na rais .. View attachment 2625667 Click to expand... Hongera mkuu, true football fan
Smart AJ said: Wananchi mmekuwa na msimu bora kabisa, naiona treble msimu huu yaani NBC,FA,na CAFCC. Kazi nzuri sana,hongera sana kwa nabi,na rais .. View attachment 2625667 Click to expand... Hongera mkuu, true football fan
zed_offcially Member Joined Mar 1, 2023 Posts 19 Reaction score 47 May 18, 2023 #25 Hata sisi tusikalie kununa t simba tutengeneze timu tuache mambo ya kizamani kununia mafanikio ya wengne
Hata sisi tusikalie kununa t simba tutengeneze timu tuache mambo ya kizamani kununia mafanikio ya wengne
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,362 Reaction score 5,606 May 18, 2023 #26 Kalpana said: Moyo unataka akili inagoma.. Click to expand... Kibali ya ishe we mrembo
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 May 18, 2023 #27 Kalpana said: Moyo unataka akili inagoma.. Click to expand... Mtani kubali tu akili na moyo, hamna namna..!!
Kalpana said: Moyo unataka akili inagoma.. Click to expand... Mtani kubali tu akili na moyo, hamna namna..!!
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,727 Reaction score 37,031 May 18, 2023 #28 Mama anaupiga mwingi
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,301 May 18, 2023 #30 Medecin said: Ukizeeka utakuwa mchawi, jifunze kuappreciate. Click to expand... Unajuaje kama sasa hivi sio mchawi
Medecin said: Ukizeeka utakuwa mchawi, jifunze kuappreciate. Click to expand... Unajuaje kama sasa hivi sio mchawi
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,301 May 18, 2023 #31 Right eye said: Umeanza masononeko mrembo wangu kwa hii Yanga inabidi ufumbe macho tu ndio uvuke mto.. Click to expand... π π π π
Right eye said: Umeanza masononeko mrembo wangu kwa hii Yanga inabidi ufumbe macho tu ndio uvuke mto.. Click to expand... π π π π
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,301 May 18, 2023 #32 Jack Daniel said: Ni kweli moyo unadanganya lakini Kuna vitu viko wazi mno, kwanini uupe moyo wako shida Kalpana Hebu hamia Yanga kwa muda mpaka michuano hii ya CAF iishe Click to expand... Daaaah au niache kuja tuu huku jukwaani kwa muda..
Jack Daniel said: Ni kweli moyo unadanganya lakini Kuna vitu viko wazi mno, kwanini uupe moyo wako shida Kalpana Hebu hamia Yanga kwa muda mpaka michuano hii ya CAF iishe Click to expand... Daaaah au niache kuja tuu huku jukwaani kwa muda..