Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,917 May 17, 2023 #1 Wananchi mmekuwa na msimu bora kabisa, naiona treble msimu huu yaani NBC,FA,na CAFCC. Kazi nzuri sana,hongera sana kwa nabi,na rais ..
Wananchi mmekuwa na msimu bora kabisa, naiona treble msimu huu yaani NBC,FA,na CAFCC. Kazi nzuri sana,hongera sana kwa nabi,na rais ..
R Right eye JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 1,249 Reaction score 2,183 May 17, 2023 #2 Hakika umenena vyema sana..
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,298 May 17, 2023 #3 Moyo unataka akili inagoma..
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,634 May 17, 2023 #4 Safi
mzee wa bwaksi JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 2,256 Reaction score 3,987 May 17, 2023 #5 Kwa niaba ya Wana utopolo wenzangu wote humu jf, tumezipokea hongera zako Kwa mikono miwili
Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 4,042 Reaction score 16,872 May 17, 2023 #6 Kalpana said: Moyo unataka akili inagoma.. Click to expand... Kubali tu mkuu acha kubishia moyo wako
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,298 May 17, 2023 #7 Jack Daniel said: Kubali tu mkuu acha kubishia moyo wako Click to expand... Hahahahaha moyo muda mwingine unadanganya
Jack Daniel said: Kubali tu mkuu acha kubishia moyo wako Click to expand... Hahahahaha moyo muda mwingine unadanganya
Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 4,042 Reaction score 16,872 May 17, 2023 #8 Kalpana said: Hahahahaha moyo muda mwingine unadanganya Click to expand... Ni kweli moyo unadanganya lakini Kuna vitu viko wazi mno, kwanini uupe moyo wako shida Kalpana Hebu hamia Yanga kwa muda mpaka michuano hii ya CAF iishe
Kalpana said: Hahahahaha moyo muda mwingine unadanganya Click to expand... Ni kweli moyo unadanganya lakini Kuna vitu viko wazi mno, kwanini uupe moyo wako shida Kalpana Hebu hamia Yanga kwa muda mpaka michuano hii ya CAF iishe
R Right eye JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 1,249 Reaction score 2,183 May 17, 2023 #9 Kalpana said: Moyo unataka akili inagoma.. Click to expand... Umeanza masononeko mrembo wangu kwa hii Yanga inabidi ufumbe macho tu ndio uvuke mto..
Kalpana said: Moyo unataka akili inagoma.. Click to expand... Umeanza masononeko mrembo wangu kwa hii Yanga inabidi ufumbe macho tu ndio uvuke mto..
Village-in JF-Expert Member Joined Aug 30, 2022 Posts 2,416 Reaction score 5,004 May 17, 2023 #11 Wewe ndio mkweli
Nkolandoto JF-Expert Member Joined Sep 18, 2016 Posts 4,102 Reaction score 4,031 May 17, 2023 #12 Kalpana said: Moyo unataka akili inagoma.. Click to expand... Kwa nn huitakii mema wewe pisi ya jf?
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,917 May 17, 2023 Thread starter #13 Kalpana said: Moyo unataka akili inagoma.. Click to expand... Mkuu,najua,ila kumfunga yule jamaa kwao sio rahisi,yanga wana timu bora sana msimu huu.
Kalpana said: Moyo unataka akili inagoma.. Click to expand... Mkuu,najua,ila kumfunga yule jamaa kwao sio rahisi,yanga wana timu bora sana msimu huu.
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,917 May 17, 2023 Thread starter #14 Hao waarabu wenyewe hamna kitu,kombe linarudi dsm mwaka huu,hamna namna,mtatunanga mwaka mzima ila ndo hvyo yanga hawezi kufungwa na USM ALGIERS.
Hao waarabu wenyewe hamna kitu,kombe linarudi dsm mwaka huu,hamna namna,mtatunanga mwaka mzima ila ndo hvyo yanga hawezi kufungwa na USM ALGIERS.
PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,695 Reaction score 25,974 May 17, 2023 #15 Kalpana said: Moyo unataka akili inagoma.. Click to expand... Vocha yangu kwako ipo palepale😃😃
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 12,486 Reaction score 35,638 May 18, 2023 #17 USM ALGER DAMU منالاالل نالا NTWA BA
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,576 May 18, 2023 #18 Smart AJ said: Hao waarabu wenyewe hamna kitu,kombe linarudi dsm mwaka huu,hamna namna,mtatunanga mwaka mzima ila ndo hvyo yanga hawezi kufungwa na USM ALGIERS. Click to expand... Ili Maneno yako yatimie kama mechi inaanzia kwa Mkapa Yanga imalize mechi kwa Mkapa. Na nawaomba wana yanga wote timu inahitaji support ya full house tickets zianze kuuzwa sasa.
Smart AJ said: Hao waarabu wenyewe hamna kitu,kombe linarudi dsm mwaka huu,hamna namna,mtatunanga mwaka mzima ila ndo hvyo yanga hawezi kufungwa na USM ALGIERS. Click to expand... Ili Maneno yako yatimie kama mechi inaanzia kwa Mkapa Yanga imalize mechi kwa Mkapa. Na nawaomba wana yanga wote timu inahitaji support ya full house tickets zianze kuuzwa sasa.
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,293 Reaction score 25,771 May 18, 2023 #19 Smart AJ said: Hao waarabu wenyewe hamna kitu,kombe linarudi dsm mwaka huu,hamna namna,mtatunanga mwaka mzima ila ndo hvyo yanga hawezi kufungwa na USM ALGIERS. Click to expand... Wale watajifanya kujabna falsafa zao. Huku wanapigwa kimoko na kwao wanaenda kutoa sare
Smart AJ said: Hao waarabu wenyewe hamna kitu,kombe linarudi dsm mwaka huu,hamna namna,mtatunanga mwaka mzima ila ndo hvyo yanga hawezi kufungwa na USM ALGIERS. Click to expand... Wale watajifanya kujabna falsafa zao. Huku wanapigwa kimoko na kwao wanaenda kutoa sare
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,917 Reaction score 27,122 May 18, 2023 #20 Huu ndio uungwana sasa. Tunashukuru sana na mtuombee tumtapishe tende na halua muarabu hiyo tar 28 pale Mkapa Stadium
Huu ndio uungwana sasa. Tunashukuru sana na mtuombee tumtapishe tende na halua muarabu hiyo tar 28 pale Mkapa Stadium