K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 1,289 Reaction score 2,199 Aug 16, 2024 #1 Ninawapongeza sana kwa mwanzo mzuri wa ligi ya NBC 2024/25 kwa kutoka sare na Tanzania Prisons uwanja wa Kirumba. Mmecheza kandanda safi na kwa mwendo huo tuna matumaini mtaendelea kufanya vizuri huko mbeleni. Hongereni sana. PIA SOMA - Full Time: Pamba Jiji Fc 0-0 Tanzania Prisons
Ninawapongeza sana kwa mwanzo mzuri wa ligi ya NBC 2024/25 kwa kutoka sare na Tanzania Prisons uwanja wa Kirumba. Mmecheza kandanda safi na kwa mwendo huo tuna matumaini mtaendelea kufanya vizuri huko mbeleni. Hongereni sana. PIA SOMA - Full Time: Pamba Jiji Fc 0-0 Tanzania Prisons
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,896 Reaction score 39,941 Aug 16, 2024 #2 Sare sio matokeo mazuri Uwanja wa nyumbani
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,600 Reaction score 59,767 Aug 16, 2024 #3 Sare ndio mwanzo mzuri?