MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 667
- 743
mimi sio uto, ila leo wameupiga mwingi sana wametukosha sanaaWell said
Simba hakuna striker wakueleweka, wamecreate chances nyingi lakini ndio hivyo watu wanabutua tuHuo ndio tunaita UUNGWANA ila na mimi nawapeni pole kwa kupoteza pointi 2 kwenye uwanja wa Liti Singida
Ndio hiyo hofu mkuu iliyokuwa kwa Yanga, imagine leo ingeisha Yanga kapigwa 3, unafikiri ingekuaje??😆😆Wachambuz na mashsbiki pia wamechangia mana waliwasema sn kua haiwezekani. Wkt mpira ni dk 90 na tim ndogo inaweza funga timu kubwa. L
Inabid tusajili mshambuliaj dirisha dogo. Japo leo hatukua na bahatiSimba hakuna striker wakueleweka, wamecreate chances nyingi lakini ndio hivyo watu wanabutua tu
kitu wanachotakiwa kufanya Yanga ni kua na consistency sasa, sio wa kukamia kutuliza kelele, maana leo mechi imechezwa kama fainali vile😆Kuingia Makundi Sio 'Mafanikio'...!
So, hakuna haja Ya Pongezi.....!
Sio maneno Yangu,ni Ya Wanauto Wenyewe.
N:B.
Kiuhalisia hii ni turning point Kwa Yanga Kwamba Mambo Yanawezekana!
Naifananisha Na Ile Mechi Ya 'Simba Na Nkana...ilitoa signal KWAMBA Mambo Yanawezekana..!
Cha ajabu leo wameshangilia sn yn km sio wao waliosema kuingia makind sio mafanikio.Kuingia Makundi Sio 'Mafanikio'...!
So, hakuna haja Ya Pongezi.....!
Sio maneno Yangu,ni Ya Wanauto Wenyewe.
N:B.
Kiuhalisia hii ni turning point Kwa Yanga Kwamba Mambo Yanawezekana!
Naifananisha Na Ile Mechi Ya 'Simba Na Nkana...ilitoa signal KWAMBA Mambo Yanawezekana..!
hata mechi na Azam ilisemwa hatuna bahati, ila ukweli mchungu wachezaji wetu local ni tabu sana!!, sijui kwanini!Inabid tusajili mshambuliaj dirisha dogo. Japo leo hatukua na bahati
mkuu hata kama ningekua mimi, zile kelele za kubezwa unafikiri masikhara😆😆Cha ajabu leo wameshangilia sn yn km sio wao waliosema kuingia makind sio mafanikio.
mkuu, haya ni mawazo yangu, inawezekana isiwe kama unavyotaka wewe🙌🙌Duuh...! Waandishi uchwara siku hizi ni wengi. Mara kufunga hofu mara walishindwa kufunga hofu. Hapo ndio point umemaliza?
Wanakwambia kwani simba huko Caf champions league ana mafanikio gani.Cha ajabu leo wameshangilia sn yn km sio wao waliosema kuingia makind sio mafanikio.
ni kama Yanga waneanza kurudi kwenye ujeuri wao, wait group stage ujioneeWanakwambia kwani simba huko Caf champions league ana mafanikio gani.