Hongera wewe dada above 18+

Ninaamini hamna bikira humu hawa hawa wa dushelele na kugegedana bikra itoke wapi.????

Usihishi hivyo ndugu yangu, humu humu wapo. Kila binadamu ana maadili na tabia zake tofauti. Mbona tunawaona wasichana wakubwa kabisa above 24+ wanajitokeza katika tamasha la mfalme mswati kila mwaka. Ina maana kule hamna wanaume???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…