Hongera wewe dada above 18+

ahsante, matundu yangu yote ni bikra. hata maskio sijawahi kujichokonoa naogopa kujibikiri. hela ya soda ipo wapi sasa kwamtoro? au tunywe tulete bili?
 
Last edited by a moderator:
Aisee acha tu niseme, niliwahi kukutana na mtu miaka 4 iliyopita ndo kaajiriwa ofcn kwetu katoka chuo ni graduate, nikawa nazinguana nae while mm nilikuwa na mtu tayari, nilisumbuana nae akawa anasema yy ni bk nikataka nihakikishe, kweli nilivyogundua haijatolewa nikamwaambia namwachia atakaekuoa ndo aje aitoe coz tayari mm nilikuwa na mtu nia yangu ilikuwa ni kuprove km kweli bado ipo, kweli kuna watu wanajitunza na kaolewa mwak jana, naamini hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…