Hongera wewe dada above 18+

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Kwa moyo mkunjufu kabisa, Nawapongeza wasichana wote above 18+ ambao still ni mabikra ambao ni wanachama na wapenzi wa JF. Hamna watu wengine wazuri kuliko hawa wasichana. Tafadhali, kunyweni soda leo hii kwa ajili yangu.

Jisikie wewe ni wathamani sana na ujitunze na uhakikishe unampatia mwanume ambaye anajuwa thamani yake. Si mnamjua huyo mwanaume??

Kama boyfriend wako atakuambia mhakikishie kama unampenda kwa wewe kumtanulia miguu yako achana naye. Tena huyo ni adui yako mkubwa sana

Na pindi ukimpa, utajiunga kwenye chama walipo wengine. Kuwa mwangalifu
 
Hapo zamani za kale alikuwepo fisi na sungura. Sungua alikuwa mjanja sana
 
Eti 18+ hapo bado sana mkuu, hiyo pongezi ungeipeleka hata kwa wale wanao jitolea kusaidia watoto yatima lakini sio wa kizazi hiki.. ni kama umepoteza nguvu yako na kusumbua vidole vyako kuandika..!
 
Eti 18+ hapo bado sana mkuu, hiyo pongezi ungeipeleka hata kwa wale wanao jitolea kusaidia watoto yatima lakini sio wa kizazi hiki.. ni kama umepoteza nguvu yako na kusumbua vidole vyako kuandika..!

Wewe wasema, mimi naamni ninacho kiandika.
 
Bikira ipi unayoongelea?

ila thamani yao itaongezeka maradufu watakapopata dushe azawais unawadanganya
 

Ongera ni nini ? Au ulikuwa unamaanisha hongera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…