Hongera Trafiki Polisi Ubungo !

leo ulipata zali kwa kuwa aliyetakiwa kupita alikuwa nyuma yako, na ninaamin baada ya kupita huyo jamaa wenzio walikaanga mawe
 

traffic huwa hapewi kitabu cha stakabadhi, wao huoewa noyification book. cha stalabadhi kiko kwa mhasibu wa wilaya husika.

ukienda na notification yako, mhasibu anakukatia risti lkn lazima awasiliane na aliyekupiga faini maana akikukatia risit bila kuhakikisha pesa imepokelewa, CAG atamsokota. kila siku wanakaguliwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…