Nadhani hongera zimetosha! Tuwekeze muda kujadili mada zingne kama jinsi ya kutatua kero lukuki za wananchi wake!
Kuna msemo huku kwetu "Mgeni siku ya kwanza,kesho mpe jembe akalime!"
huu si muda muafaka wa kumpa hongera nasari,bali pole ili ajue ana mzgo mkubwa mbele yake!
NI MTAZAMO WANGU TU!