huyu jamaa mbna anatajwa sana kuhusika na ushindi wa yanga dhidi ya simba kila mara? ni kweli au ni vijembe vya watani tu...mimi shabiki wa simba ntamuona sio kama kweli huwa anapanga mikakati.ya ushindi yanga.