kwa nini waliokuwa
wanahusika kuwapeleka hao watoto waliachiwa kwamba hawakuwa na kesi ya
kujibu?
Kama mzazi na mpenda haki, nmefurahishwa na kuridhika na maamuzi ya kutupa rufaa ya wanamuziki wa Kongo(Nguza na mwanae). Kwakweli naunga mkono hukumu! Takribani juma zima vyombo vya habari karibu vyote vimekuwa vikijaribu kuwasafisha watuhumiwa kwamba walisíngiziwa, eti hawana kosa. Bahati mbaya hakuna miongoni mwetu anaefuatilia majaliwa ya mabinti zetu walioachiwa majeraha watakayoishi nayo maisha yao yote. Ni jambo la kumshujuru Mungu mabinti zetu hawakuambukizwa ukimwi. Nijambo la kusikitisha,kutia aibu,kukatisha tamaa kuona watanzania wenzangu kuthamini umaarufu wa watuhumiwa kuliko ubinadamu. Hivi kweli sauti nyororo za Babusea na papikocha zilipwe kwa unyama kwa mabinti zetu tena wadogo hivi? Je starehe ni bora kuliko malezi na ulinzi na haki ya watoto wetu? Kama tunasema wameonewa mbona hakuna hata mmoja wetu mwenye ushahidi dhahiri aliekuja kudhibitisha? Badala ya kunun'gunika kwa ushabiki nngewashauri wanahabari na watanzania wenzangu mtafute nakala ya hukumu then mueleze umma unyama wa hawa hayawani waliotumia umaarufu wao kudhalilisha watoto na taifa letu. Kwa mzazi yeyote, unyanyasaji huu hauvumiliki hata kidogogo.
tatizo lipo tena kubwa sana la udhaifu wa kimahakama au hofu za wanasiasa zimesababisha kila judge aogope kutenda haki, mazingira hayaruhusu kabisa ila ndo bongo myonge hana haki, wale waarabu wa Irani walibaka sana mahouse girls wakaacha wakaenda kwao, waingereza walibaka na kuua tena hadi walimlazimisha dada wa watu kalala na mbwa wakaachwa wakaenda zao, suala tata kama hili wamelipitisha kienyeji kienyeji namna hii
watu walioshutumiwa kuwapeleka hao watoto hata mahakamani hawakuhitajika.... waafrica walio wengi ni watumwa wa mindset zao wenyewe
Kama mzazi na mpenda haki, nmefurahishwa na kuridhika na maamuzi ya kutupa rufaa ya wanamuziki wa Kongo(Nguza na mwanae). Kwakweli naunga mkono hukumu! Takribani juma zima vyombo vya habari karibu vyote vimekuwa vikijaribu kuwasafisha watuhumiwa kwamba walisíngiziwa, eti hawana kosa. Bahati mbaya hakuna miongoni mwetu anaefuatilia majaliwa ya mabinti zetu walioachiwa majeraha watakayoishi nayo maisha yao yote. Ni jambo la kumshujuru Mungu mabinti zetu hawakuambukizwa ukimwi. Nijambo la kusikitisha,kutia aibu,kukatisha tamaa kuona watanzania wenzangu kuthamini umaarufu wa watuhumiwa kuliko ubinadamu. Hivi kweli sauti nyororo za Babusea na papikocha zilipwe kwa unyama kwa mabinti zetu tena wadogo hivi? Je starehe ni bora kuliko malezi na ulinzi na haki ya watoto wetu? Kama tunasema wameonewa mbona hakuna hata mmoja wetu mwenye ushahidi dhahiri aliekuja kudhibitisha? Badala ya kunun'gunika kwa ushabiki nngewashauri wanahabari na watanzania wenzangu mtafute nakala ya hukumu then mueleze umma unyama wa hawa hayawani waliotumia umaarufu wao kudhalilisha watoto na taifa letu. Kwa mzazi yeyote, unyanyasaji huu hauvumiliki hata kidogogo.
Wasiojua lolite huwa mapovu yanawatoka humu na pumba kibao peleka selo maisha swain.
Tuache siasa, "Hoja ni kwamba walinajisi au hawakunajisi watoto". Wametiwa hatiani kutokana na ushahidi uso shaka dhidi yao . Hayo maswala ya wazungu sijui waarabu na mahousegeli hayana mashiko. Kwa hiyo unataka wabakaji hawa (nguza) waachiwe kwa hoja nyepesi kama hizo? Kisa tu mtuhumhwa anasauti nzuri jukwaani? Mungu tupe roho ya uoni.
hukumu halali lazma ipokelewe + na public. Ikiwa wengi wanaona ukakasi basi haki inakuwa lazma imesukumwa nyuma. Hukumu hii haina funzo kwa jamii yetu believe it. Hapo ni sheria duniani haki ahera....
Hivi what is so special na hawa wapiga zeze wabakaji. Mahakama ya Hakimu mkazi imeona wana makosa, Mahakama Kuu nayo ikathibitisha uamuzi wa mahakama ya chini. Kisha Appeal Court ime-cement maamuzi ya Mahakama za chini. Nyie mnaobishana na Mahakama pelekeni ushahidi wenu usiona na mashaka ili aweze kutolea jela. Wacheni maneno ya mtaani. Kwa sasa tunasema Nguza na Mwanawe Johnson ni wabakaji kwa mujibu wa Mahakama waache waozee jelaa.
kwa nini waliokuwa wanahusika kuwapeleka hao watoto waliachiwa kwamba hawakuwa na kesi ya kujibu?
Usilazimishe dunia nzima wawe na mawazo kama yako. Nyie mnataka Mahakama ifanyikazi ya kuwafurahi wakata viuno badala ya kutenda haki? Manailazmisha mahakama kukidhi matakwa yenu! Mahakamani sio siasa bali weled wa sheria na haki ndio msingi wa maamuzi. Mambo ya hukumu kupokelewa (+) or (-) hayo ni kwenye majukwaa ya siasa hayaihusu mahakama. Kama mliwapenda na mlifahamu wanaonewa mlikuwa wapi siku zote kwenda kudhibitisha mnayo yaamini mahakamani? "SHERIA MSUMENO"hukumu halali lazma ipokelewe + na public. Ikiwa wengi wanaona ukakasi basi haki inakuwa lazma imesukumwa nyuma. Hukumu hii haina funzo kwa jamii yetu believe it. Hapo ni sheria duniani haki ahera....