hongera magufuli.

Chigwa

Member
Joined
Oct 19, 2013
Posts
31
Reaction score
8
nikupongeze kwa mwendelezo wa kampeni zako ingawa kwa upande wangu bado hujanishawishi kwakuwa unaoambatana nao bado wanamaneno yenye kukera, mfano mkutano wako wa leo wa Babati, kuna mmoja wa wasemaji wako alisema chama chako ni njia kuu na vyama vingine ni mchepuko na huko kuna ukimwi, nawe unasema unahitaji kuwa ongoza watu wote na vyama vyote na wasio na vyama, na la mwisho watanzania wanamhitaji kiongozi mwenye uwezo wa kutumia akili na siyo nguvu sasa kwenye mkutano wako umewapigisha pushapu wagombea wako. Naamini mm sina uwezo wa kukufika na kukushauli lakini naomba uwe unakifahamu kile kinachokwenda kuzungumzwa na wasindikizaji wako.
 

pombe ni mkurupukaji
 
Sera za mwaka huu za CCM ni matusi na ubabe.
 

Watapoteza wapiga kuta went I nikiwemo na mimi kwa kukerwa na matamshi yao
 
Ni seme kwa kifupi tu kwamba hunaakili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…