Hongera J.K Nyerere

Zeyutong

New Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
3
Reaction score
1
Naleta uzi huu wa kumpa pongezi Mwl. Nyerere kwani mpaka anastaafu alikuwa na maisha ya mtu wa kawaida, lakini viongozi wetu wa sasa wanaingia madarakani maskini wanatoka madarakani matajiri wa kupindukia. Watu wa namna hii hawana nia nzuri na taifa
 
Foleni za sukari,kanga,mafuta umezisahau!kutoruhusiwa kujenga,kazi ya ziada,kudanganywa kiswahili lugha ya taifa huku nyaraka zote za serikali zimeandikwa kiingereza,kunyimwa magazeti,tv,redio isipokua gazeti kiongozi la catholic na redio sauti ya injili moshi ziliruhusiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…