N ni_mtazamo_tu Senior Member Joined Oct 17, 2012 Posts 153 Reaction score 20 Feb 25, 2014 #1 habari zenu wana jamii, baada ya kupata usafiri mpya nimeamua kuuza pikipiki yangu aina ya honda cc90 nyekundu imetumika kiasi. Iko dar es salaam na bei yake ni laki saba na nusu. Kwa anayetaka kuiona awasiliane nami kwenye 0688941186
habari zenu wana jamii, baada ya kupata usafiri mpya nimeamua kuuza pikipiki yangu aina ya honda cc90 nyekundu imetumika kiasi. Iko dar es salaam na bei yake ni laki saba na nusu. Kwa anayetaka kuiona awasiliane nami kwenye 0688941186
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,944 Reaction score 4,511 Feb 25, 2014 #2 Weka picha mkuu
C Crispin Nyoni JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 413 Reaction score 90 Feb 26, 2014 #3 Tulioko Songea tuje tukuone?
atubariki JF-Expert Member Joined Oct 26, 2011 Posts 225 Reaction score 17 Feb 26, 2014 #4 Imetuka kwa muda gani na namba zake je
atubariki JF-Expert Member Joined Oct 26, 2011 Posts 225 Reaction score 17 Feb 26, 2014 #5 Imetumika kwa muda gani na namba zake je?
Mjasiria Akili JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 823 Reaction score 372 Feb 26, 2014 #6 Nadhani ni zile auto kama ni yenyewe nitumie picha kwa whatsapp 0718138382
N ni_mtazamo_tu Senior Member Joined Oct 17, 2012 Posts 153 Reaction score 20 Feb 26, 2014 Thread starter #7 mimi nimeitumia kwa mwaka mmoja na nusu, picha nimeshindwa kuweka hapa ila kama una whatsapp nipm namba nikutumie, wa songea pia rukhsa kuiona
mimi nimeitumia kwa mwaka mmoja na nusu, picha nimeshindwa kuweka hapa ila kama una whatsapp nipm namba nikutumie, wa songea pia rukhsa kuiona