Home sweet home

miss neddy unakumbuka uliniahidi nini baada ya kutoka kule mahali? Unadeni na mimi ujue, njoo basi nyumbani unambie. Hata wewe mwekundu karibia home.

hahahaha nakumbuka mamy tatizo hako kanyumba sijakaelewa kabisaaaa malaika tukilala humo mwizi akiiba fungua ya gari ndo tunaibwa wote
 
Last edited by a moderator:
hmm! wanyakyusa bana! lols!
Malaika wewe, hapa kwenu nini!

 
Last edited by a moderator:
hahahaha nakumbuka mamy tatizo hako kanyumba sijakaelewa kabisaaaa malaika tukilala humo mwizi akiiba fungua ya gari ndo tunaibwa wote


Mtaibiwaje funguo wote wawili? Mwanaume hatakiwi kulala kama amekufa.
 
Hapo ndo nyumbani haswa, wanaita kwetu pazuri home sweet home. Karibu.
oh wow! toto la mbeya hili jamani! sipati picha unavyovutia! lols!

husababishagi vita vya wenyewe kwa wenyewe kweli mtaani kwenu Malaika? hahahaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…