Malaika AD
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 496
- 316
miss neddy unakumbuka uliniahidi nini baada ya kutoka kule mahali? Unadeni na mimi ujue, njoo basi nyumbani unambie. Hata wewe mwekundu karibia home.
imetulia sana hiyo hembu miss neddy na Excel waje hapa niwapandishe waje huko
mkuu utafiti nenda ukakirimiwe
Mh.hapo.poa.sana