Attention kubwa kwa akili za kawaida zitapelekwa kwenye viatu, kwa maana vinarepresent jinsia mbili tofauti yaani ME & KE. Lakini pia kwa elimu ya kisaikolojia attention ya kwanza kwa mwanadamu kwenda kwa mwanadamu mwenzeka ni kwenye viatu alivyovaa.
Kuhusu yanayoendelea ndani, yamefichika hili tusiyaone..............................? NO COMMENT
Hakuna kiumbe hatari na mgumu kumjudge kama Homo Sapiens.