Vitanda safi sana kwa hizi nyumba zetu
ndogo ndogo maana unaweza kuwa na
vya kutosha.
Mkuu tafadhali unaweza kusema kimoja
kinagharimu bei gani .
Marketer, ungefanya kama catalogue: picture, size, price. Wengine tuko mbali, hatuwezi wote kutembelea show room yako
Marketer, ungefanya kama catalogue: picture, size, price. Wengine tuko mbali, hatuwezi wote kutembelea show room yako
Kabisa. Tunaomba utueleze mnapatikana wapi na bei zake tujue.
Umepotea,eleza unapatikana wapi?
Material ni chuma, alloy au al?