Nyumba 2 zilizo eneo moja zinauzwa tegeta skanska, zina hati miliki ukubwa wa eneo ni sqm 739. kila nyumba ina vyumba 3 vya kulala vyote master jiko, dining, public toilet, sebule kubwa, parking, store na zote zipo ndani ya fensi kando ya barabara ya rami, bei yake ni ml 600 kwa mawasiliano zaidi piga 0714104788 au 0714182640