Kufuatia zoezi na maombi ya kuchangia fedha kwa ajili ya TAULO ZA KIKE Maarufu Pedi kwa ajili ya wanafunzi iwe shule ya msingi au sekondari nahoji: 1. Wakati umefika kwa kina baba nao kushiriki kutoa elimu kwa watoto wao wa kike namna ya matumizi? 2. Wakati sasa familia kupanga bajeti za pedi kwa mabinti zao? 3. Serkali iweke fedha za pedi kwenye kile kiitwacho Elimu Bure? 4. Kina Dada, tueleze kuna ubora gani kati ya pedi za asili na hizi mpya? Nazi njema