HOJA: Museveni kashindwa ushoga. Je, Tanzania tutaweza?

Your browser is not able to display this video.
 
Shoga katika ubora wako,hapo unanuka mavi tu na umevaa pampas

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Tanzania imesema ushoga, usagaji na ndoa za jinsia moja hazina nafasi Tanzania na kusisitiza kuwa huo ndio msimamo wa Serikali, msimamo wa Rais wa Tanzania Dkt. Samia na Wasaidizi wake, Waziri Nape ametoa msimamo huo usiku wa kuamkia leo DSM. [Millard Ayo]


 
Ameshindwa wakati sheria imeshapitishwa!! Nenda Uganda ukafanye ushoga wako kama hujahukumiwa kifo.
 
Juz kati baada ya kuchek game ya ihefu nkaletewa kadi ya mwaliko(birthday party)....
Kwenda nakuta ni party ya mashoga,wapo kibao halafu matako njenje tu...

Nikajisemea hili lingeonwa na ndugu zangu wa JF,Wangechoma moto ukumbi
Unafananiaje mkuu, au walikuonaje hadi wakathubutu kukupatia Kadi?
Una muonekano gani yaani?
 
Nawasiwasi na wewe huenda WEWE ni SHOGA
 
Huna taarifa za Kutosha.

Museven alishasain ile Bill publicly!

Baada ya kujiridhisha kwamba Ushoga ni Behaviour na siyo Ulemavu yeye alitia sign!

Yuko sahihi!

Na anawakilisha kundi kubwa pa Waafrika.
 
Duniani nchi zilizo sema wazi kabisa kuwaua mashoga ni saudia afoghani sitani tu nyingine zinaogopa waxungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…