Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 971
- 1,978
Dogo anatia huruma sana daah
Saivi anacheza zake ndondo tuDogo anatia huruma sana daah
Tofauti Kati ya Feisal na Zitto Kabwe kipindi anadanganywa na kina Kitila agombee Uenyekiti ili apate nafasi ya kugombea Urais 2015 ni fani zào tu. Mmoja soka mwingine siasa lakini wote walikurupuka.Tuliokuwa tunamsapoti feisal japokuwa ilikuwa ni haki yake kudai maslahi leo hii hatumsapoti tena , kijana anakufa kivyake , anapambana kivyake
ni kweli huenda kuna team ilikuwa inahitaji kumpa feisal mshahara wa million 16 kwa mwezi , lakini feisal alishindwa kuwaza kwamba alitakiwa kuvumilia msimu huu uishe acheze mashindano haya ya CAFCC huenda angeonekana kwa team kubwa , pengine angepokea zaidi ya hiyo 16M ?
Jibu ni kwamba feisal alikuwa na tamaa pasipo kufikiri mbali , mchezaji kukosa management inayoeleweka haya ndiyo madhara yake , bonde na pigo kubwa kwa feisal kukosa michuano hii ya kombe la shirikiaho barani africa , zamaleki ,pyramid , mamelod raja casablanca pengine wangemuona na wakampa mshahara wa zaidi ya 50M kwa wwezi
Wachambuzi tuliokuwa tunamuunga feisal leo hii hatujui namna gani feisal ameathirika baada ya kukosa michuano hii ya kombe la shirikisho [emoji22] mwisho wa siku tunahitaji busara itumike ,
N.B
Ukiona wabongo wengi wapo upande wako huo ni mtego achana nao , mwisho wa siku watakubwaga
View attachment 2514601
Usishangae akaja kucheza namungoTuliokuwa tunamsapoti feisal japokuwa ilikuwa ni haki yake kudai maslahi leo hii hatumsapoti tena , kijana anakufa kivyake , anapambana kivyake
ni kweli huenda kuna team ilikuwa inahitaji kumpa feisal mshahara wa million 16 kwa mwezi , lakini feisal alishindwa kuwaza kwamba alitakiwa kuvumilia msimu huu uishe acheze mashindano haya ya CAFCC huenda angeonekana kwa team kubwa , pengine angepokea zaidi ya hiyo 16M ?
Jibu ni kwamba feisal alikuwa na tamaa pasipo kufikiri mbali , mchezaji kukosa management inayoeleweka haya ndiyo madhara yake , bonde na pigo kubwa kwa feisal kukosa michuano hii ya kombe la shirikiaho barani africa , zamaleki ,pyramid , mamelod raja casablanca pengine wangemuona na wakampa mshahara wa zaidi ya 50M kwa wwezi
Wachambuzi tuliokuwa tunamuunga feisal leo hii hatujui namna gani feisal ameathirika baada ya kukosa michuano hii ya kombe la shirikisho [emoji22] mwisho wa siku tunahitaji busara itumike ,
N.B
Ukiona wabongo wengi wapo upande wako huo ni mtego achana nao , mwisho wa siku watakubwaga
View attachment 2514601
Taarifa za kulipwa mshahara na Azam umezitoa wapi?Mkuu mbona kama unaandika kitu ambacho hukijui Feisal alikuwa anapambana avunje mkataba na Yanga ili aende azam (kama mchezaji huru) ambayo kimahesabu haipo shirikisho wala klabu bingwa hivyo Feisal alijua wazi ataikosa michuano ya Caf ya mwaka huu kwa kujiunga azam
Kitu pekee Feisal anachokikosa ni kuitumikia klabu yake ya azam ambao wanamlipa mshahara dogo kipindi chote hichi anachosubiri utatuzi wa suala lake
Siku zote Nina falsafa yangu ya kwamba Jambo Ni lako na utabaki nalo pekee ako ,hvyo Ni vyema nikaweka mipango yangu all allone kwa asilimi90 hz kumi Ni kupokea maoni tuTuliokuwa tunamsapoti feisal japokuwa ilikuwa ni haki yake kudai maslahi leo hii hatumsapoti tena , kijana anakufa kivyake , anapambana kivyake
ni kweli huenda kuna team ilikuwa inahitaji kumpa feisal mshahara wa million 16 kwa mwezi , lakini feisal alishindwa kuwaza kwamba alitakiwa kuvumilia msimu huu uishe acheze mashindano haya ya CAFCC huenda angeonekana kwa team kubwa , pengine angepokea zaidi ya hiyo 16M ?
Jibu ni kwamba feisal alikuwa na tamaa pasipo kufikiri mbali , mchezaji kukosa management inayoeleweka haya ndiyo madhara yake , bonde na pigo kubwa kwa feisal kukosa michuano hii ya kombe la shirikiaho barani africa , zamaleki ,pyramid , mamelod raja casablanca pengine wangemuona na wakampa mshahara wa zaidi ya 50M kwa wwezi
Wachambuzi tuliokuwa tunamuunga feisal leo hii hatujui namna gani feisal ameathirika baada ya kukosa michuano hii ya kombe la shirikisho [emoji22] mwisho wa siku tunahitaji busara itumike ,
N.B
Ukiona wabongo wengi wapo upande wako huo ni mtego achana nao , mwisho wa siku watakubwaga
View attachment 2514601
Ndondo wapi acheni umafia hivyo vitu vya kawaida mwacheni dogo akatafute changamoto kwingine mbona nyinyi mlishafanya sana umafiaa simba ikamaliza kimya kimya bila kukomoanaSaivi anacheza zake ndondo tu