hodi mukaya

Idimulwa

Platinum Member
Joined
May 27, 2011
Posts
6,226
Reaction score
5,339
Japo nipo kitambo lakini niliingia bila kubisha hodi sasa leo narudia hoooodiiiii
 
Pita ndani, nadhani unajua mitaa yote ya humu ndani!
 
mkuu we mkaree, ulisha ingia hadi chumbani
ukapiga chabo halafu ndio umeamua kupiga hodi
karibu sana.
 
jf bwana job true true Karibu mgeni mwenyeji..
 
Haaaa Tupe Source? Then Njoo na Uthibitisho!! Karibu Sana Sweke ndani ya JF The Home of Great Thinkers
 
mnh kumbe upo humuhumu kimya kimya hbu niangalie ka kuna usalama,hebu we housegal hesabu vijiko na sufuria afu angalia ka sukari hailambwalambwa mana itakua imepungua
 
Dah nimesgangaa Kongosho hajacoment hapa?!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…