M mapololo JF-Expert Member Jul 28, 2015 360 628 May 13, 2021 #3 Tukukaribe ndiyo nn, embu rudi sheleni kwanza ukajifunze kuandika ndipo uingie humu, watu tusha vurugwa humu na teuzi za juzi.
Tukukaribe ndiyo nn, embu rudi sheleni kwanza ukajifunze kuandika ndipo uingie humu, watu tusha vurugwa humu na teuzi za juzi.
B Bosi wa Miji yote Tz Member May 12, 2021 36 23 May 13, 2021 Thread starter #4 Si unajua Smart za urithi
B Bosi wa Miji yote Tz Member May 12, 2021 36 23 May 13, 2021 Thread starter #5 Mzee23 said: Karibu, Kwanini hilo jina? Click to expand... Hilo jina nalipenda sana kwa maana kufikia 2030 Miji wanijue mi ni nani kwa maana kila mji wa Tz nitakuwa nishawekeza tena uwekezaji mkubwa tu
Mzee23 said: Karibu, Kwanini hilo jina? Click to expand... Hilo jina nalipenda sana kwa maana kufikia 2030 Miji wanijue mi ni nani kwa maana kila mji wa Tz nitakuwa nishawekeza tena uwekezaji mkubwa tu
B Bosi wa Miji yote Tz Member May 12, 2021 36 23 May 13, 2021 Thread starter #6 mapololo said: Tukukaribe ndiyo nn, embu rudi sheleni kwanza ukajifunze kuandika ndipo uingie humu, watu tusha vurugwa humu na teuzi za juzi. Click to expand... Si unajua Smart za urithi Na wewe ona "embu" baada ya ebu smart haijawahi kumuacha salama mbongo yeyote
mapololo said: Tukukaribe ndiyo nn, embu rudi sheleni kwanza ukajifunze kuandika ndipo uingie humu, watu tusha vurugwa humu na teuzi za juzi. Click to expand... Si unajua Smart za urithi Na wewe ona "embu" baada ya ebu smart haijawahi kumuacha salama mbongo yeyote
Nkolandoto JF-Expert Member Sep 18, 2016 3,877 3,675 May 13, 2021 #7 Bosi wa Miji yote Tz said: NAITWA Bosi wa miji yote Tz Click to expand... Unakaribishwaje wewe ni bosi wa miji yote tz Sema kwnza we me au ke Kama ke pita ndani mpaka kitandani Kama me subiri nje nakuletea kiti
Bosi wa Miji yote Tz said: NAITWA Bosi wa miji yote Tz Click to expand... Unakaribishwaje wewe ni bosi wa miji yote tz Sema kwnza we me au ke Kama ke pita ndani mpaka kitandani Kama me subiri nje nakuletea kiti
B Bosi wa Miji yote Tz Member May 12, 2021 36 23 May 13, 2021 Thread starter #8 Nkolandoto said: Unakaribishwaje wewe ni bosi wa miji yote tz Sema kwnza we me au ke Kama ke pita ndani mpaka kitandani Kama me subiri nje nakuletea kiti Click to expand... Mi Kidume bwana
Nkolandoto said: Unakaribishwaje wewe ni bosi wa miji yote tz Sema kwnza we me au ke Kama ke pita ndani mpaka kitandani Kama me subiri nje nakuletea kiti Click to expand... Mi Kidume bwana
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,054 10,700 May 14, 2021 #9 Krb sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidipo.
Mokaze JF-Expert Member Aug 3, 2018 14,375 14,870 May 14, 2021 #10 Bosi wa Miji yote Tz said: NAITWA Bosi wa miji yote Tz Click to expand... Bosi gani unayeomba pilau???
Bosi wa Miji yote Tz said: NAITWA Bosi wa miji yote Tz Click to expand... Bosi gani unayeomba pilau???
MIXOLOGIST JF-Expert Member Mar 1, 2016 12,695 31,484 May 31, 2021 #12 Mbona una kihere here? Alafu huo mwandiko ni wa mke wa mtu kabisa