G gangster44 Member Joined Dec 8, 2017 Posts 10 Reaction score 3 Dec 8, 2017 #1 Habari zenu waungwana me sina mengi ya kusema ila ni kwamba me mgeni naomba mnikaribishe na mnipe mwongozo wa humu
Habari zenu waungwana me sina mengi ya kusema ila ni kwamba me mgeni naomba mnikaribishe na mnipe mwongozo wa humu
stickvibration JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 3,226 Reaction score 5,150 Dec 8, 2017 #2 Karibu saaana Mkuu ila uwe na subira na moyo wa chuma Maana majibu ya wananzengo wenzangu humu unaweza ukajutia kwa nini ulinunua simu
Karibu saaana Mkuu ila uwe na subira na moyo wa chuma Maana majibu ya wananzengo wenzangu humu unaweza ukajutia kwa nini ulinunua simu
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,936 Dec 8, 2017 #3 Karibu Pm nikupe mwongozo kidogo tu.
G gangster44 Member Joined Dec 8, 2017 Posts 10 Reaction score 3 Dec 8, 2017 Thread starter #4 stickvibration said: Karibu saaana Mkuu ila uwe na subira na moyo wa chuma Maana majibu ya wananzengo wenzangu humu unaweza ukajutia kwa nini ulinunua simu Click to expand... Asante mkuu nmekuelewa nmejipanga ndo mana nmekuja
stickvibration said: Karibu saaana Mkuu ila uwe na subira na moyo wa chuma Maana majibu ya wananzengo wenzangu humu unaweza ukajutia kwa nini ulinunua simu Click to expand... Asante mkuu nmekuelewa nmejipanga ndo mana nmekuja
G gangster44 Member Joined Dec 8, 2017 Posts 10 Reaction score 3 Dec 8, 2017 Thread starter #5 SK2016 said: Karibu Pm nikupe mwongozo kidogo tu. Click to expand... Nikufuate ss au baadae
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,564 Dec 8, 2017 #6 gangster44 said: Nikufuate ss au baadae Click to expand... PM ni nini na iko wapi unapotaka kumfuata?
gangster44 said: Nikufuate ss au baadae Click to expand... PM ni nini na iko wapi unapotaka kumfuata?
Raphello Senior Member Joined Mar 20, 2017 Posts 159 Reaction score 196 Dec 8, 2017 #7 gangster44 said: Nikufuate ss au baadae Click to expand... We ni mgeni huko PM unakomfuata unapajua kulivyo.
gangster44 said: Nikufuate ss au baadae Click to expand... We ni mgeni huko PM unakomfuata unapajua kulivyo.
J jay4savage Member Joined Dec 2, 2017 Posts 10 Reaction score 0 Dec 8, 2017 #8 gangster44 said: Habari zenu waungwana me sina mengi ya kusema ila ni kwamba me mgeni naomba mnikaribishe na mnipe mwongozo wa humu Click to expand... Kalibu Ila uwe na subira hasil weka pemben
gangster44 said: Habari zenu waungwana me sina mengi ya kusema ila ni kwamba me mgeni naomba mnikaribishe na mnipe mwongozo wa humu Click to expand... Kalibu Ila uwe na subira hasil weka pemben
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Dec 8, 2017 #9 Karibu. Hapa ni mrufuku kuquote thread ndefu alafu unaweka emoji za kubenjua mdomo
Chris14 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2017 Posts 3,076 Reaction score 2,185 Dec 8, 2017 #10 gangster44 said: Habari zenu waungwana me sina mengi ya kusema ila ni kwamba me mgeni naomba mnikaribishe na mnipe mwongozo wa humu Click to expand... Karibu sana mkuu. Mwongozo ni huu; 'za kuambiwa changanya na za kwako humu'
gangster44 said: Habari zenu waungwana me sina mengi ya kusema ila ni kwamba me mgeni naomba mnikaribishe na mnipe mwongozo wa humu Click to expand... Karibu sana mkuu. Mwongozo ni huu; 'za kuambiwa changanya na za kwako humu'
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Dec 8, 2017 #11 Karibu sana JF...........
G gangster44 Member Joined Dec 8, 2017 Posts 10 Reaction score 3 Dec 8, 2017 Thread starter #12 Raphello said: We ni mgeni huko PM unakomfuata unapajua kulivyo. Click to expand... Me ni mgeni wa kujiunga humu ila ni mwenyej wa kusoma post na comment za members wa humu kw hy chocho zote nazijua mkuu
Raphello said: We ni mgeni huko PM unakomfuata unapajua kulivyo. Click to expand... Me ni mgeni wa kujiunga humu ila ni mwenyej wa kusoma post na comment za members wa humu kw hy chocho zote nazijua mkuu
G gangster44 Member Joined Dec 8, 2017 Posts 10 Reaction score 3 Dec 8, 2017 Thread starter #13 Ulimakafu said: Karibu sana JF........... Click to expand... asante mkuu
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,508 Reaction score 18,668 Dec 8, 2017 #14 Njoo pm ulipie kodi
G gangster44 Member Joined Dec 8, 2017 Posts 10 Reaction score 3 Dec 8, 2017 Thread starter #15 mjr95 said: Njoo pm ulipie kodi Click to expand... Kodi tena ndug
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Dec 8, 2017 #16 gangster44 said: Habari zenu waungwana me sina mengi ya kusema ila ni kwamba me mgeni naomba mnikaribishe na mnipe mwongozo wa humu Click to expand... Jitahidi kuwa mpole, humu kuna vya watu!
gangster44 said: Habari zenu waungwana me sina mengi ya kusema ila ni kwamba me mgeni naomba mnikaribishe na mnipe mwongozo wa humu Click to expand... Jitahidi kuwa mpole, humu kuna vya watu!
G gangster44 Member Joined Dec 8, 2017 Posts 10 Reaction score 3 Dec 8, 2017 Thread starter #17 Slim5 said: Jitahidi kuwa mpole, humu kuna vya watu! Click to expand... kwa ilo tu mkuu me mbona cha mtu ctaman
Slim5 said: Jitahidi kuwa mpole, humu kuna vya watu! Click to expand... kwa ilo tu mkuu me mbona cha mtu ctaman