Heri ya Eid. mimi na familia yangu tumependelea mji shinyanga kwa ajili ya mapumziko ya skukuu. japo si wenyeji. Hivyo basi kwa wenyeji wa mji wa shinyanga. ni maeneo yapi yanafaa kukuaa na familia na kupunga upepo..je kuna bichi hapo.?

njoo Songwa Sailing Club. iko maeneo ya mwadui. au recreation na swimming pool mwadui mgodini. wengi huwa hawazijui hizi sehemu. I'm sure uta enjoy Sana

Tulia garden pub au Bakurutu kuna live bendi. Ila chunga mkeo akiwa anaenda chooni. Kuna watu hawatongozi wana msalimia tu na kumtuma muhudumu anampa laki na namba ya simu juu ya noti au tishu pepa. AMELIWA HUYOOO.