Mfanyabiashara Toka Japan Member Joined Aug 23, 2019 Posts 22 Reaction score 19 Aug 24, 2019 #1 Hdoi humu ndani. Mimi ni mkazi wa Temeke na pia ni mfanyabiashara. Naomba mnipokee humu ndani.
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,556 Reaction score 7,385 Aug 24, 2019 #2 Karibu sana unafanya biashara gani tukutangazie au kukuchangia?
Mfanyabiashara Toka Japan Member Joined Aug 23, 2019 Posts 22 Reaction score 19 Aug 24, 2019 Thread starter #3 Lord eyes said: Karibu sana unafanya biashara gani tukutangazie au kukuchangia? Click to expand... Vitu vingi mfano baiskeli za watoto,chupa za chai,friji ndogo na vinginevyo vingi tu.
Lord eyes said: Karibu sana unafanya biashara gani tukutangazie au kukuchangia? Click to expand... Vitu vingi mfano baiskeli za watoto,chupa za chai,friji ndogo na vinginevyo vingi tu.
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,556 Reaction score 7,385 Aug 24, 2019 #4 Mfanyabiashara Toka Japan said: Vitu vingi mfano baiskeli za watoto,chupa za chai,friji ndogo na vinginevyo vingi tu. Click to expand... Vizuri mkuu unafanyia wapi biashara yako
Mfanyabiashara Toka Japan said: Vitu vingi mfano baiskeli za watoto,chupa za chai,friji ndogo na vinginevyo vingi tu. Click to expand... Vizuri mkuu unafanyia wapi biashara yako
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,494 Reaction score 29,278 Aug 24, 2019 #5 Endelea kukaa huko huko japan huku bongo hukuwezi wewe kodi iko juu kukiko mtaji wa biashara yako Mfanyabiashara Toka Japan said: Hdoi humu ndani. Mimi ni mkazi wa Temeke na pia ni mfanyabiashara. Naomba mnipokee humu ndani. Click to expand...
Endelea kukaa huko huko japan huku bongo hukuwezi wewe kodi iko juu kukiko mtaji wa biashara yako Mfanyabiashara Toka Japan said: Hdoi humu ndani. Mimi ni mkazi wa Temeke na pia ni mfanyabiashara. Naomba mnipokee humu ndani. Click to expand...
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,747 Reaction score 132,179 Aug 25, 2019 #6 Karibu sana jf mfanyabiashara wetu kutoka Japan na Temeke.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,816 Reaction score 13,772 Aug 26, 2019 #7 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT..
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,996 Reaction score 189,582 Aug 27, 2019 #8 Pamoja Mkuu Karibu Jamvini