M mkulubule Member Joined Aug 3, 2016 Posts 70 Reaction score 45 Aug 10, 2016 #1 habari za humu ndani waungwana,, naombeni mnipokee na kunipa ushirikiano wa kutosha kwani mm ni mgeni kwenye jukwaa hili,,ni women,,ahsanteni.
habari za humu ndani waungwana,, naombeni mnipokee na kunipa ushirikiano wa kutosha kwani mm ni mgeni kwenye jukwaa hili,,ni women,,ahsanteni.
happymwashi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 980 Reaction score 847 Aug 10, 2016 #2 mkulubule said: habari za humu ndani waungwana,, naombeni mnipokee na kunipa ushirikiano wa kutosha kwani mm ni mgeni kwenye jukwaa hili,,ni women,,ahsanteni. Click to expand... Wagen waenzi za maguful niwasumbufu aisee.... Mbwembwe nyingiii.... Mbona sisi hatukuwa iviii..???
mkulubule said: habari za humu ndani waungwana,, naombeni mnipokee na kunipa ushirikiano wa kutosha kwani mm ni mgeni kwenye jukwaa hili,,ni women,,ahsanteni. Click to expand... Wagen waenzi za maguful niwasumbufu aisee.... Mbwembwe nyingiii.... Mbona sisi hatukuwa iviii..???
kizibo1 JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 1,187 Reaction score 766 Aug 10, 2016 #3 Na Wewe ukubali kutoa ushirikiano lakini
UncleBen JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 9,693 Reaction score 12,320 Aug 10, 2016 #4 Kwani mko wangapi ? Maana hapo naona umeandika ni "women"
Mkarugonzibwa Member Joined Aug 8, 2016 Posts 11 Reaction score 5 Aug 10, 2016 #5 happymwashi said: Wagen waenzi za maguful niwasumbufu aisee.... Mbwembwe nyingiii.... Mbona sisi hatukuwa iviii..??? Click to expand... Hahaha
happymwashi said: Wagen waenzi za maguful niwasumbufu aisee.... Mbwembwe nyingiii.... Mbona sisi hatukuwa iviii..??? Click to expand... Hahaha
Mkarugonzibwa Member Joined Aug 8, 2016 Posts 11 Reaction score 5 Aug 10, 2016 #6 Mkarugonzibwa said: Hahaha Click to expand... Tumechangamka wagen
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,761 Reaction score 86,421 Aug 10, 2016 #7 Ntakupa tu ushirikiano karibu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,446 Reaction score 829,809 Aug 10, 2016 #8 mkulubule said: habari za humu ndani waungwana,, naombeni mnipokee na kunipa ushirikiano wa kutosha kwani mm ni mgeni kwenye jukwaa hili,,ni women,,ahsanteni. Click to expand... Jina lako limekomaa sana
mkulubule said: habari za humu ndani waungwana,, naombeni mnipokee na kunipa ushirikiano wa kutosha kwani mm ni mgeni kwenye jukwaa hili,,ni women,,ahsanteni. Click to expand... Jina lako limekomaa sana
Password JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 777 Reaction score 1,083 Aug 10, 2016 #9 Karibu sana kamanda
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,224 Reaction score 39,936 Aug 10, 2016 #10 Kalibu
Mbulu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 5,619 Reaction score 5,518 Aug 10, 2016 #11 mkulubule said: habari za humu ndani waungwana,, naombeni mnipokee na kunipa ushirikiano wa kutosha kwani mm ni mgeni kwenye jukwaa hili,,ni women,,ahsanteni. Click to expand... Karibu mgeni; Chama-Chadema Yanga-Timu Chakula-Kande
mkulubule said: habari za humu ndani waungwana,, naombeni mnipokee na kunipa ushirikiano wa kutosha kwani mm ni mgeni kwenye jukwaa hili,,ni women,,ahsanteni. Click to expand... Karibu mgeni; Chama-Chadema Yanga-Timu Chakula-Kande
kizibo1 JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 1,187 Reaction score 766 Aug 11, 2016 #12 Mbulu said: Karibu mgeni; Chama-Chadema Yanga-Timu Chakula-Kande Click to expand... Timu shimbae
kizibo1 JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 1,187 Reaction score 766 Aug 11, 2016 #13 UncleBen said: Kwani mko wangapi ? Maana hapo naona umeandika ni "women" Click to expand... Her she and female
UncleBen said: Kwani mko wangapi ? Maana hapo naona umeandika ni "women" Click to expand... Her she and female
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Aug 11, 2016 #14 krb jf............