BABA, si unajua wenzetu wakipenda kitu wanavyojali,nadhani pia kwa vile ni majira ya baridi na christmas ndio hiyoo wamefanya kama ni utamaduni fulani hivi,kwa wale wadau ambao wako pande hizo,watatujuza zaidi.
MDADA: Unakunywa pombe?
MKAKA: Hapana
MDADA: Unavuta?
MKAKA: Hapana
MDADA: Una mademu?
MKAKA: Hapana MDADA: Sasa unajichanganyaje na washkaji?
MKAKA: Mi muongo ile mbaya