Hizi ndizo dawa za hospitalini zinazoua nguvu za kiume

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,814
34,198
DAWA ZA HOSPITALI.jpg


HIZI NDIO DAWA ZA HOSPITALINI ZINAZOUA NGUVU ZA KIUME

Dawa zote zinazopatikana mahospitalini na maduka ya madawa zinaletwa kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali, japokua baadhi ya dawa hizo huambatana na madhara madogo na makubwa kwenye mwili wa binadamu. madhara madogo madogo huweza kua kichefuchefu,kizunguzungu, kutapika, kuharisha na kadhalika. na madhara makubwa huweza

kua kansa, madonda ya tumbo, ugumba, kuishiwa nguvu za kiume na kadhalika. leo ntaenda kuongelea dawa za hospitalini ambazo zinhusika sana kuua nguvu za kiume na kama una tatizo hili uziepuke mara moja.

Dawa za kutibu presha; kuna dawa nyingi sana za kutibu presha na hufanya kazi kwa njia tofauti tofauti yaani ikishindwa hii unapewa nyingine na zifuatazo ni baadhi ambazo huua nguvu za kiume. mfano Hydrochlorothiazide, Hydropres, Inderide, Moduretic, Oretic, Lotensin,

Chlorthalidone (Hygroton), Triamterene (Maxide, Dyazide), Furosemide (Lasix), Bumetanide (Bumex), Guanfacine (Tenex), Methyldopa (Aldomet), Clonidine (Catapres), Verapamil (Calan, Isoptin, Verelan) Nifedipine (Adalat, Procardia), Hydralazine (Apresoline), Captopril (Capoten), Enalapril (Vasotec), Metoprolol (Lopressor), Propranolol (Inderal), Labetalol (Normodyne), Atenolol (Tenormin), Phenoxybenzamine (Dibenzyline), Spironolactone (Aldactone).


Dawa za kutibu kifafa, msongo wa mawazo na wasiwasi; hizi hupewa kwa wagonjwa wenye msongo wa mawazo na kifafa. mara nyingi huleta uzingizi na kumfanya mtu aapate nafuu lakini pia dawa hizo hupunguza nguvu za kiume.mfano Fluoxetine (Prozac), Tranylcypromine (Parnate), Sertraline (Zoloft) Isocarboxazid (Marplan), Amitriptyline (Elavil), Amoxipine (Asendin), Clomipramine (Anafranil) Desipramine (Norpramin), Nortriptyline (Pamelor), Phenelzine (Nardil), Buspirone (Buspar), Chlordiazepoxide (Librium),Clorazepate (Tranxene),Diazepam (Valium)
Doxepin (Sinequan), Imipramine (Tofranil), Lorazepam (Ativan), Oxazepam (Serax), Phenytoin (Dilantin).


Dawa za kutibu matatizo ya aleji; hizi ni dawa amazo mara nyingi hutumika kutibu mafua, miwasho, kutetemeka mwili,kuzuia kutapiaka na kadhalika lakini huua nguvu za kiume taratinu mfano Dimehydrinate (Dramamine), Diphenhydramine (Benadryl), Hydroxyzine (Vistaril), Meclizine (Antivert), Promethazine (Phenergan).

Dawa za maumivu; hizi ni dawa ambazo hutumika kutibu maumivu makali ya mwili kama jointi, mgongo, miguu na kadhalika lakini bahati mbaya huacha sehemu nyeti katika halia ambayo sio nzuri mfano Naproxen (Anaprox, Naprelan, Naprosyn) na Indomethacin (Indocin).

Dawa za kutibu madonda ya tumbo; hutumika na watu wengi sana kuponya na kuondoa maumivu makali yanayosababishwa na madonda ya tumbo lakini huacha madhara hayo.mfano cimetidine, Nizatidine (Axid), ranitidine (Zantac).

Dawa za kutibu tezi dume; pamoja ya kua tezi dume hutibiwa moja kwa moja kwa upasuaji lakini kuna dawa ambazo mgonjwa anapewa kabla ya kufikia hatu ya kupasua na pia dawa hizi humpunguzia makali ya ugonjwa.mfano flutamide(Eulexin), leuprolide (Lupron)
dawa za kutibu kansa; dawa hizi hazipatikani madukani kabisa, na hutolewa kwenye hospitali maalumu kama ocean road, dar es laam kupunguza makali ya ugonjwa wa kansa. mfano wa dawa hizo ni Flutamide (Eulexin), Leuprolide (Lupron).

Dawa za moyo; hizi ni dawa amabazo hutumika kutibu watu wenye matatizo ya moyo.. mara nyingi dawa hii hupewa kwa watu ambao mioyo yao haisukumi damu vizuri.mfano norpace.
Mwisho; kama una tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume na unaatumia baadhi ya dawa hizi, basi ongea na daktari wako anayekutibu akubadilishie dawa. ni hatari kufanya maamuzi mwenyewe bila kumshirikisha daktari. nguvu za kiume ni nzuri lakini maisha ni matamu zaidi.chanzo.HIZI NDIO DAWA ZA HOSPITALINI ZINAZOUA NGUVU ZA KIUME ~ MUUNGWANA BLOG

madawa ya sumu.jpg


USHAURI WANGU.
Tupunguze Kutumia Vidonge hivi Vyenye Sumu Haswa Kwa Wanaume Tutakuwa Hatuna nguvu za kiume na Kupata Ugumba na Kutozaa. Tutumieni Dawa za asili hazina Madhara Kwa Binadamu.
 
Mzizi mkavu Asante sana kwa udadavuzi huu wa kina!!
Mkuu mpaka uwe mjanja utaacha kutumia dawa za Hospitali utaamuwa kutumia dawa za kiasili zisizo kuwa na side effect kama Asali,Tangawizi,Habat sawda, mdalasini,Pilpili kali,karafuu na pilpili mtama na dawa nyingi tu za kiasili zisizo kuwa na madhara na pia ni Dawa Natural Antibiotic utaweza kufika hata umri wa miaka 100 na zaidi ya hapo pasipo kuwa na upungufu wa nguvu za kiume na wala kuwa maradhi ya ajabu.
 
mkuu mpaka uwe mjanja utaacha kutumia dawa za Hospitali utaamuwa kutumia dawa za kiasili zisizo kuwa na side effect kama Asali,Tangawizi,Habat sawda, mdalasini,Pilpili kali,karafuu na pilpili mtama na dawa nyingi tu za kiasili zisizo kuwa na madhara na pia ni Dawa Natural Antibiotic utaweza kufika hata umri wamika 100 na zaidi pasipo kuwa na upungufu wanguvu za kiume na wala kuwa maradhi ya ajabu.
Kweli kabisa mkuu
 
Mkuu mpaka uwe mjanja utaacha kutumia dawa za Hospitali utaamuwa kutumia dawa za kiasili zisizo kuwa na side effect kama Asali,Tangawizi,Habat sawda, mdalasini,Pilpili kali,karafuu na pilpili mtama na dawa nyingi tu za kiasili zisizo kuwa na madhara na pia ni Dawa Natural Antibiotic utaweza kufika hata umri wamika 100 na zaidi pasipo kuwa na upungufu wanguvu za kiume na wala kuwa maradhi ya ajabu.
Ndo mana huwa nawashangaa wavulana under 30 wanalalamika upungufu wa nguvu za kiume wakati watu wazima tunapiga shows za haja, asali, tende, matikiti, jogging vinatufanya tuwe fit siku zote
 
Don’t Wait For a Cure for Cancer, Know and Avoid the Causes


pesticide-300_tcm18-60750-18713_203x202.jpg

  • here.



    Since Richard Nixon declared war on cancer as a nation in 1971 and vowed to find a cure for it, we’ve seen the expectancy rates of getting cancer in one’s lifetime jump from 1 in 10 to 1 in 2 men and 1 in 3 women. Our “war on cancer” couldn’t be more of a dismal failure. As we entered the 1960’s we challenged ourselves as a nation to reach the moon within a decade and succeeded. Here we are 4 decades after declaring war on cancer and these are the results. All because we have been tricked by the industry into focusing on a cure instead of questioning what has changed since then.

    I won’t focus on crossing my fingers that the research will find that magic cure that will seemingly never come. What I will do though is to shed some light on what has changed since we planted our flag against cancer in 1971 and the undeniable link between those changes and the rate of cancer we have seen. Again, if you know the causes, then you know the cure. So what has changed since then?

    Quite simply, our food has. In this blog, I will cover the two things that add up to the perfect storm in our Standard American Diet (SAD) when it comes to the massive increase in cancer we have seen. These two factors literally create tumors and then feeding them what they need to grow.

    While there are a number of things about what we eat that has changed in the last generation, the most important thing that can be pointed to is the complete control of it by corporations and how they have manipulated our crop production. The top of that control pyramid starts with the Bio Tech corporations such as Monsanto, Syngenta, Dow Chemical and others. These are companies that have made their living making and selling toxic chemicals for a variety of reasons, the most profitable of which has become spraying our produce as can be seen in the graph below.



    To understand the concept of how negatively this can impact our collective health, picture spraying RoundUp that you use on your lawn directly onto the food that you eat. This is exactly what is done on crops across America with over a billion pounds of pesticides every year. The best way to get this across is through visual images:

















    The caption in the last photo sums it up. If it’s not safe to breathe, how can it be safe to eat? Quite simply, it isn’t. But you’ll never hear that from anyone up the food chain to the very top levels in the chemical companies who sell it. If you’re waiting for our regulatory agencies such as the FDA, EPA, and USDA to step in on your behalf, then you’ll be waiting a long time. They are all virtually run by ex execs from within the industry whose task it is to protect the very companies who are causing the problem.

    While you simply can’t find an independent study within the U.S. showing the long term effects of this poison on those who consume it (they are forbidden by the industry), there have been plenty done outside of our country. Those studies have consistently shown pesticides such as RoundUp to:
    • Immobilize nutrients making them unavailable in the body
    • Destroy beneficial human gut bacteria (80% of our immune system starts in the gut)
    • Promote synthetic estrogens in the body that are strong hormone disruptors
    Logic would say that you wouldn’t eat grass or weeds after spraying them with RoundUp. Why wouldn’t we use that same logic when it comes to our produce? Not doing so has been shown to have catastrophic consequences not just when it comes to cancer, but a myriad of other serious diseases in our country.

    When years of increased pesticide use began to show negative effects on our crops , the Bio Tech giants like Monsanto hatched a new goal. That was selling seeds that would withstand the ever increasing amount of pesticides being sprayed on a yearly basis thereby allowing them to sell more of them. Enter the concept of genetically modifying (GMO’s) our seeds to withstand these toxic chemicals. GMO corn and soy was introduced in the mid 1990’s and has steadily grown to the levels seen below.



    While the standard argument that you’ll hear from the industry is that “GMO crops will feed the world”, studies conducted by the University of Illinois and others show the exact opposite. Organically grown produce consistently outproduced GMO. So while there is no supposed upside, lets analyze the downside. First, there are no long term studies of the effects of consuming GMO’s that have been done in the U.S. because again, they are not allowed by the industry. In effect this makes the entire population of the U.S. guinea pigs. I say the U.S. because nearly all of the rest of the civilized world has either outlawed the use of GMO’s or enacted mandatory GMO labeling.



    While the truth about GMO’s has been purposely buried in this country, plenty of long term studies outside of the reach of the Bio Techs and our regulatory bodies have been done elsewhere and the results consistently show the following:
    • They create rogue proteins in our body that are allergenic and toxic
    • They damage our DNA at the cellular level
    • Ingesting them over the long term leads to tumor growth and infertility
    The most damning study of GMO’s was conducted by Dr. Seralini and released in the Journal of Food and Chemical Toxicology confirmed all of these findings. Unfortunately, an incredible amount of pressure was applied by Monsanto on the top levels at the Journal in 2013 to have the story retracted. Thankfully, the truth was published yet again recently in the Journal of Environmental Sciences as can be seen below:



    With ninety plus percent of both corn and soy in our county being GMO, and these making there way into nearly 80% of our food supply, it has become the most wide scale experiment ever conducted on human beings without their consent. While polls consistently show that 90% of us want GMO’s to be labeled in this country, the Bio Techs like Monsanto and members of the Grocery Manufacturer’s Association spend millions to defeat it when it appears on each state’s ballot.

    This begs the question, “if GMO’s are safe, then why are millions spent to keep us in the dark about the food items that carry them?” The answer is quite simple. If we know and can track what foods carry GMO’s and who are eating them, then it would become easy to correlate a link between GMO’s and cancer and the thirty plus other serious illnesses and diseases that have steadily increased since their introduction. The corporations involved simply can’t afford to allow that to happen.



    By making our corn and soy “RoundUp ready”, the chemical companies have been able to drastically increase the amount of chemicals such as glyphosate that can be sold to farmers to apply to their crops as can be seen here:



    An unfortunate side effect has been a huge increase in glyphosate resistant “super weeds”, but I’m sure the industry is working on a new pesticide to sell our farmers to address that problem.

    The massive increases of pesticides and GMO’s that we have seen entering our food supply in the last few decades has led to a toxic environment and genetic mutation at the cellular level in our bodies. That opens the door for these mutated cells known as free radicals to form into colonies rather than dying off as normal cells continually do as a part of the natural cycle in our bodies. These colonies need fuel to grow and multiply into tumors and the second part of the equation in the standard American diet is only too happy to cooperate with this need.

    Over the years, the amount of refined carbohydrates and refined sugars being consumed on an annual basis in this country has steadily increased. While it is recommended that humans should keep their daily sugar consumption to below 25 grams per day, the average American takes in more than six times that amount at 151 grams per day. That comes out to 130 pounds per year or about 3550 pounds in a lifetime, enough to fill up an entire dumpster. Much of this sugar is hidden in the foods we eat, especially the drinks that we choose and carbohydrates.

    What is cancer’s main food source? You guessed it, SUGAR! This is exactly why cancer patients are injected with a radioactive dye with glucose in it when they get a PET scan. Because the glucose (sugar) is immediately drawn right to the tumor so that they can be identified on the scan. When sugar is used to identify tumors, why would the majority of oncologists deny any link between diet and cancer as our first oncologist did? The answer is that they are taught nothing about the link between sugar as a food source and cancer in medical school. They simply learn about their three tools of chemotherapy, radiation, and surgery to attack it.

    This is the dirty little secret that the health care industry never wanted to talk to us about as we navigated our way through treatment for my wife’s breast cancer and my son’s brain tumor. Addressing the causes would simply be bad for business so they were never discussed. The FDA which eerily has the words food AND drug in their title acts as a protection agent for both industries. They neglect to inform us of the problems with our food supply that eventually leads to us needing the cancer industry’s drugs for “treatment”.

    Unless we wake up to begin focusing on the causes outlined here instead of supporting pinkwashing and running for a cure, the cancer rates in our country will continue to increase and effect the people that we love. I for one am done chasing that carrot, and will only talk about the causes as I cover in this blog. An informed public will demand the necessary changes to start really making a difference when it comes to cancer. By raising awareness of the causes and demanding a change by avoiding GMO’s and eating organic only, we can start to turn this around. It starts with only eating foods that carry these seals if they come in a box, bag, can, or jar:



    Next, it comes down to replacing processed and refined foods with whole foods or real foods. If it reads like a science experiment on the ingredients label, then it will act like one inside of your body as well. Our family also avoids fast food as there are so many carcinogenic ingredients in them. We have also eliminated refined sugar from our diets and have a limited amount of naturally occurring sweeteners such as raw honey, stevia, coconut palm sugar, etc.

    To keep informed about the damaging effects of GMO’s, pesticides, and food additives that we should all avoid, there are several experts in the field that I tend to follow such as the following:

    Robyn O’Brien: Home - Robyn O'Brien

    Mike Adams: www.naturalnews.com and HealthRanger.com - Sharing empowering videos to help improve personal and planetary health

    Jeffrey Smith: www.responsibletechnology.org

    Vani Hari: Food Babe - Welcome to Food Babe!



    When it comes to curing cancer, knowing and eliminating the causes should be the goal, not simply allowing the causes to persist so that they can be treated with the latest toxic treatment or surgery. The only way that we can bring about the changes to have these causes removed from our food supply is through consumer demand. If enough of us stand up and refuse to compromise our health by avoiding these harmful practices within our food system, eventually our voices will be heard all the way up the chain.

    To Your Health!

    Marty Loughlin
Don’t Wait For a Cure for Cancer, Know and Avoid the Causes | Live a Healthier Happier Life
 
Ndo mana huwa nawashangaa wavulana under 30 wanalalamika upungufu wa nguvu za kiume wakati watu wazima tunapiga shows za haja, asali, tende, matikiti, jogging vinatufanya tuwe fit siku zote
Vijana wanapenda kula chips, vyakula feki vya azam, kupiga punyeto na vyakula vya makopo ya viwandani watakosaje kuwa na upungufu wanguvu za kiume? Tofauti na wazee wanaokula ugali wa muhogo kisamvu dagaa, Asali, pweza, tangawizi, na vyakula vingine vya asili tangu niwatibu watu nguvu za kiume sijawahi kumsikia Mzee mwenye umri wa miaka 60 ana upungufu wa nguvu za kiume wote wenye pungufu wa nguvu za kiume ni Vijana wenye umri wa kuanzia miaka 25 mpaka miak 55 wengi wao .
 
Panadol je!?
MADHARA YA KUTUMIA KWA MUDA MREFU VIDONGE VYA PARACETAMOL AU PANADOL TUJIHADHARi

Side Effects of Long Term Paracetamol or Panadol Use


panadol-jpg.504997


Use with caution in

* Decreased kidney function.

* Decreased liver function.

Ukitumia Vidonge hivyo yaani Paracetamol au Panadol kwa muda mrefu basi ukae ukijuwa unaharibu Figo lako na Ini lako kupunguwa kufanya kazi vizuri Tujihadhari kutumia kwa wingi hivyo vidonge.

MADHARA YA KUTUMIA KWA MUDA MREFU VIDONGE VYA PARACETAMOL AU PANADOL TUJIHADHARi
 
MADHARA YA KUTUMIA KWA MUDA MREFU VIDONGE VYA PARACETAMOL AU PANADOL TUJIHADHARi

Side Effects of Long Term Paracetamol or Panadol Use


panadol-jpg.504997


Use with caution in

* Decreased kidney function.

* Decreased liver function.

Ukitumia Vidonge hivyo yaani Paracetamol au Panadol kwa muda mrefu basi ukae ukijuwa unaharibu Figo lako na Ini lako kupunguwa kufanya kazi vizuri Tujihadhari kutumia kwa wingi hivyo vidonge.

MADHARA YA KUTUMIA KWA MUDA MREFU VIDONGE VYA PARACETAMOL AU PANADOL TUJIHADHARi

Duh tumekwisha!!
 
Duh tumekwisha!!
Dawa Ya Paracetamol
dawa-ya-paracetamol.jpg

Dawa ya Paracetamol au acetaminophen ni dawa inayotumika kutuliza homa na maumivu mbalimbali ya mwili. Hujulikana sana kama Panadol, majina mengine ya kibiashara ni Asmol, Sheladol, Tempra na Tylenol. Wakati mwingine huchanganywa na dawa kama Aspirin na caffeine kama kwenye tembe za Hedex. Paracetamol hupatikana kama vidonge vya kunywa, dawa ya maji (syrup), vidonge vya kuweka njia ya haja kubwa (suppository) na ya maji ya dripu (intravenous).

Paracetamol hutuliza maumivu ya kichwa au homa, lakini haitibu au kuondoa maumivu au homa.

Matumizi Ya Paracetamol
Paracetamol au panadol hutumika;

  • Kutuliza maumivu mbalimbali ya mwili yasiyo makali sana kama kichwa, viungo na misuli.
  • Kutuliza homa, kupanda kwa joto la mwili kutokana na magonjwa mbalimbali.
Kunywa vidonge kwa maji yaliyopoa, nusu saa kabla au masaa 2 baada ya kula.

Kwa siku moja usitumie Paracetamol zaidi ya gramu 2.6 kwa mtoto chini ya miaka 12, gramu 3.75 kwa mtoto juu ya miaka 12 na gramu 4 kwa mtu mzima. Kuzidisha kiwango hiki cha dawa ya paracetamol kinaweza kusababisha madhara kwenye mwili hasa ufanyaji kazi wa ini.

Ikiwa homa ua maumivu yanaendelea zaidi ya siku 3 baada ya kutumia paracetamol nenda hospitali

Madhara
Matumizi ya paracetamol katika dozi iliyoshaurishwa kwa kipindi kifupi yanaweza kuleta madhara kidogo au isilete madhara kabisa. Madhara yafuatayo yanaweza kutokea, hasa unapotumia kwa muda mrefu au yasitokee kabisa;

  • Kizunguzungu
  • Ngozi kuwasha
  • Manjano kutokea kwenye macho na mwili
  • Huathiri seli za ini
  • Kutokwa na damu kwenye njia ya chakula


Ukizidisha Dozi ya Paracetamol (Paracetamol overdose)
Kutumia Paracetamol (panadol) zaidi ya kiwango kilichoshauriwa au kunywa paracetamol nyingi kwa makusudi huleta madhara kwenye ini lako, na inaweza kupelekea ini kushindwa kufanya kazi (liver failure). Wahi kwenye kituo cha afya kama umekunywa paracetamol nyingi na unapata dalili kama kutapika, kichefuchefu, tumbo kuuma, kutokwa na jasho, manjano na moyo kwenda mbio.

Tahadhari
Haishauriwi kutumia paracetamol kama;

  • Una ugonjwa wa ini ambao haujapona.
  • Mara chache sana, huweza kusababisha magonjwa ya ngozi kama malengelenge, ngozi kuwa nyekundu na kuwasha. Usitumie paracetamol kama hali hii imewahi kutokea.
Wakati wa Ujauzito na Kunyonyesha
Paracetamol inaweza kutumika katika kipindi chote cha ujauzito, kwa muda mfupi bila kuleta madhara yoyote.

Dawa hii ni salama kutumia wakati unanyonyesha mtoto.

Dawa Ya Paracetamol
 
Back
Top Bottom