Hizi ndio aina 10 za mbwa hatari duniani

Tusisahau pia mbwa ni chakula che kwetu.









 
Aina hii ya mbwa nao ni hatari Sana
 
Mbwa hatari ni yule mwenye kichaa maana tu akikupga lazima ufe within 5 yrs hata utumie dawa gani.
 
I love dogs

Ova
 
Caucasian shepherd ni shida,wachekii youtube,pande za dog,syo koko wetu hku ,mbwa ukikatiza anakimbia mwenyewe...
 
ndiye nimemuelezea kwenye list anashika namba 1
Mkuu nazimia sana mbwa kwangu Nna dogy wawili german shepahard mmoja anaitwa whisky na Léon ni washkaji wangu sanaaaa
Ni moja ya familia kwangu so uzi huu umenigusa sana

Ova
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…