Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Miye niliwahi kuona wakati mmoja dada kagongana na jamaa na mkoba ukaanguka na vikatapakanyikaa.. ni kweli vingi vilivyoonekana ndivyo hivyo vilivyotajwa na vingine ilibidi nilishwe yamini kutovitaja.. kitu pekee ambacho hakikuonekana kudondoka kwenye mikoba ni cash! no cash at all hata coins! Sasa leo najiuliza na baada ya kusoma vitu vyote vinavyobebewa hapa labda mtu mmoja tu alisema fedha kwenye hiyo mikoba.
a. Hivi huko wanakokwenda (guest) au mitaani kuna ATM?
b. Au wana uhakika kuwa cash si tatizo..?
Ndiyo maana kuna mtu aliniambia linaitwa TOOL BOX!Umesahau na vitana kama sita hivi na khanga ukiona handbag ilivyotuna kama kuna hela vile ametoka benki kuna siku kibaka mmoja alimuibia dada mmoja begi lake ndani yake aliambulia eye shadow, lipstic, lip gloss, toilet paper, wembe, khanga, kulikuwa pia na pedi mbili ambazo hazijatumika
Hayo yote ni maandalizi ya uchakachuzi!!!na wengi wabebao hivyo ni wake za watu.Kwani usipojilemba hampendezi??
Miye niliwahi kuona wakati mmoja dada kagongana na jamaa na mkoba ukaanguka na vikatapakanyikaa.. ni kweli vingi vilivyoonekana ndivyo hivyo vilivyotajwa na vingine ilibidi nilishwe yamini kutovitaja.. kitu pekee ambacho hakikuonekana kudondoka kwenye mikoba ni cash! no cash at all hata coins! Sasa leo najiuliza na baada ya kusoma vitu vyote vinavyobebewa hapa labda mtu mmoja tu alisema fedha kwenye hiyo mikoba.
a. Hivi huko wanakokwenda (guest) au mitaani kuna ATM?
b. Au wana uhakika kuwa cash si tatizo..?
Ona wanavyojitetea mi simoNdani hayo mabegi huwa tunabeba pochi ndogo mbili moja kwa ajili ya notes, IDs na business cards na kengine kadogo zaidi kwa ajili ya coins, kwa hiyo MzeeM kuona hivyo vikianguka live sio rahisi maana vinakuwa vimehifadhiwa vizuri tu
Hii iliwahi kunitokea demu kapaka lipstic kwenye pedi,kupiga hesabu alikuwa kwenye siku zake wiki 2 zilizopita nikakomaa kikaeleweka,wanawake noooma.
Miye niliwahi kuona wakati mmoja dada kagongana na jamaa na mkoba ukaanguka na vikatapakanyikaa.. ni kweli vingi vilivyoonekana ndivyo hivyo vilivyotajwa na vingine ilibidi nilishwe yamini kutovitaja.. kitu pekee ambacho hakikuonekana kudondoka kwenye mikoba ni cash! no cash at all hata coins! Sasa leo najiuliza na baada ya kusoma vitu vyote vinavyobebewa hapa labda mtu mmoja tu alisema fedha kwenye hiyo mikoba.
a. Hivi huko wanakokwenda (guest) au mitaani kuna ATM?
b. Au wana uhakika kuwa cash si tatizo..?
Mwanamke shurti kujiremba eehhh tena utuache umesahau na hivi:
Toilet paper
Deodorant
Perfume
Na vingine kibao
ah kweli, tena wale wa kinondoni wanakuwa na CO***m pia ni maandalizi in case of any emergency and sometimes katk mpango ya kando
Alidai sio chai ninywe kila siku lol!Uporoto mkuu inaelekea hujui kuhudhumia vizuri. Yaani mwanamke akupige chenga? Kama unampa huduma isiyosahaulika atakutafuta wewe na mkikutana tu ni lazima mdondoke. Ha ha ha improve fani!!!
Dena siku hizi mpaka maofisini tunapewa ziko kwenye madroo yani hata wasichana na wavulana wanatakiwa wawe nazo
Hata kale tena wakinamama walikua wanabeba vikapu leo hii ni vipochi kwa ujumla kama binti anajitambua ni lazima kwenye begi or pochi yake awe na ivyo vitu specialy ilikua ni kwa ajili ya kuweka kanga so now wanaweka na vipodozi gud 4them