Hizbollah waomba Ceasefire

Amekubali au hajakubali? 😂😂😂
Kakubali kwa sharti vita vya Gaza visimame sa wapi jipya. Hio kuombwa three weeks wasimamishe vita sio kuwa wao ndio waliomba ni US, Europe na nchi za kiarabu bada ya kuwapiga pressure serekali ya Lebanon.
Swali lakuzingatia hapa nani ndio ameshindwa ni Israel, sababu alikataa vita vya Gaza kusimamishwa kwa masharti ya Hamas. Unapo wambia US na Europe na nchi za kiarabu wawambie Hezbullah wasimamishe vita week tatu ili muanze hatua ya kusimamisha vita vya Gaza ni kuwa umekubali ulicho kataa mwanzo. US na Europe hawawezi kukubali kusimamisha vita kama Israel wamemuona ana nguvu dalili sasa US kasema hakuna kusimamisha vita. Fatilia sasa Israel ndio aliye kataa akidhani kumuwa Nasurlah bada ya kupewa infomation na Commander huyo wa Iran. Alijua kuwauwa wale macommander wa Hezbullah na Nasurlah ndio kashinda vita kumbe wapi, karibu atanza tena US kubembeleza vita vya Gaza au Lebanon visimame hali Israel imekuwa tete.

Kiongozi wa Hezbullah Naim Al Qassem lazima awaonyeshe serekali ya Lebanon wao hawana tatizo kusimamisha vita kama Israel atakubali walicho kiongelea US, Europe na nchi za kiarabu vita visimame kwa mda wa week tatu sharti Israel kakubali kusimamisha vita vya Gaza sa wap jipya hapo.

Swali Israel kawarudisha wakimbizi kwenye nchi yake wa North Israel hakuna, Haifa pia wanakimbia, Hezbullah haikurudi nyuma kama alivyo taka. Sa kitu gani Israel ka win kwenye vita vya Lebanon?
 
Huwaga mna unafiki nyie vikundi vyenu vya kigaidi mnavipaisha kwa kusingizia Nato hivi kwa akili ya kahawaida hezbollah wanaweza kupiga na Nato si lebanon itakuwa majivu
 
Huwaga mna unafiki nyie vikundi vyenu vya kigaidi mnavipaisha kwa kusingizia Nato hivi kwa akili ya kahawaida hezbollah wanaweza kupiga na Nato si lebanon itakuwa majivu
Wanapigana au nato wanawapa israel intelligence na silaha ni sasa si ni sawa tu wako uwanja wa vita au wewe conflict haiwezi kuwa ni proxy unataka mpaka iwe direct ndio useme hapo sawasawa wanapigana karibu modern warfare anatumika mtu mmoja kufikisha malengo ya watu na wao wanatoa material support na weapons na intelligence na financial sio lazima wawe frontline upo.
 

Netanyahu says Israel has 'taken out' Nasrallah's successors😂😂😂😩… breaking news hiyo​

Mavi yake jeshi lake limemjibu halina uhakika yeye kapata vipi dalili 😄

Israel kisha kwama huko Lebanon alidhani ataingiza boots zake huko ikabidi wapitie kwenye jeshi la UNIFIL liliopa Lebanon wakapige selfie kutoka hapo wakabebwa kwa Helicopter 3/4 wamekufa Natalie baki ni vilema vya permently disability


View: https://youtu.be/B1JdaUomRPk?si=o3Pa5LrhaJdw2H5j
Hivi jeshi gani duniani linaweza watisha mpa wanajeshi wa UNIFIL, wawachie waingilie Lebanon kwa njia ya jeshi la UNIFIL, na wakiwazuia watawatwanga risasi, yote wakachukue video na selfie waonyeshe wako ndani ya Lebanon na US ndio anamkingia kifua kama hio UN sio soka la samaki la US.
 
Mbona kama ume panic, hao hesbollah hamna jambo ni mara 1000 ya hamas..
 
Hio hapo mzee baba
Sa dogo wambie wanaa fahamu kiarabu wakuambie hapo chini Imeandikwa nini.? Imeandikwa Israel, USA na Western haziwatishi?

Alicho sema kuna proposal ya ceasefire ambayo serekali ya Lebanon ilikubaliana na US na Europe kwamba wasimamishe vita three weeks ili vita vya Gaza visimamishwe, ndio wakawa Hezbullah wanapigwa pressure na serekali ya Lebanon wakubali tena tokea wakati Nasurlah bado hakufa. Nasurlah alisha kubali. Israel ndio alikataa bada ya kuona kumuwa Nasurlah alidhani ndio kashinda.

Kitu Muhimu alicho ongea hapo chini.
 
We unaongea nini wakati hali sio nzuri huko Lebanon kusini watu wameyakimbia makazi yao na umoja wa mataifa umesema hali ya uko itakuwa kama Gaza.Tuombee amani na tuweke ushabiki na udini pembeni.Halafualiyekuambia wakristo wanaitabilia ushindi israel ni nani ?acha kujumuisha watu wote Kwa hisia zako
 
Nasrallah successor yupo wapi?😂😩
 
Nasrallah successor yupo wapi?😂😩
Swali waliaassasinate nuclear scientist je wairan waliacha nuclear project ,walimuassasinate Ahmad yassini muasisi Hamas na aliyeteuliwa alikuwa assasinated in just a month baada ya kuteuliwa, mwaka 2004 yaani 20yeras ago, je hamas ilikufa ??? You dont kill an ideology or movement or resistance by targeting leaders only diplomacy and mutual benefit dialogue solve the problem mengine ni ugomvi wa milele generation after generation,from weak to strong generation the cycle.continues na pia as times goes on you make your enemies very strong since kila siku wanawaza how to succed in their strugle and the cycle of violence continue.
 
Mkiacha ideology yenu ya Death to Israel mtapata amani
 
Hii habari ni yakweli iko You Tube Hezbola ambao ndio walioanza mashambulizi sasa wanaomba kipigo kisimame😆
 
Mbona mapema sana
 
Si wanajua kupigana vita hawa? cease fire ya nini Tena? Bado Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…