KUDOLE CHA MWISHO
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 407
- 898
Sio yao, yao wao ni official whatspp, cha ajabu ukihamua kuacha kutumia official whatspp ukahamua kutumia GB whatsapp,, whatspp official wanakupiga BAN from nowhere jamanSi ya kwao!!!.
Tuna tumiajeGoogle kuna Antiban WhatAp install
Mamlaka wanayo ndo maana mnakula BANKwan lazima kutumia Official whatspp, si maamuzi yangu Nitumie whatspp ipi, hao whatspp official wana mamlaka gani kumpiga mtu BAN kwakutotumia App yao eti
Hii ina bidi niitafute hakuna namna.Google kuna Antiban WhatAp install
Kwan lazima kutumia Official whatspp, si maamuzi yangu Nitumie whatspp ipi, hao whatspp official wana mamlaka gani kumpiga mtu BAN kwakutotumia App yao eti
Google kuna Antiban WhatAp install
Ni lazima ndio, kama hutaki WhatsApp yao si utengeneze na wewe app yao ndio utumieKwan lazima kutumia Official whatspp, si maamuzi yangu Nitumie whatspp ipi, hao whatspp official wana mamlaka gani kumpiga mtu BAN kwakutotumia App yao eti
Ujuaji dadaWatu mnapenda shida sasa kilichowafanya msitumie WhatsApp za kawaida ni nini?
Mmh, hujanielewa shoga, mbona km umepandwa na wazimuNi lazima ndio, kama hutaki WhatsApp yao si utengeneze na wewe app yao ndio utumie
Ndio Yale Yale ya kuacha mke/mume wa ndoa na kuchepuka eti kupata vionjo tofauti!!!Watu mnapenda shida sasa kilichowafanya msitumie WhatsApp za kawaida ni nini?
Sijapandwa na wazimu, yaani nipandwe na wazimu kisa WhatsApp? Huwezi kuwa serious bwana mdogoMmh, hujanielewa shoga, mbona km umepandwa na wazimu
Dada rudi tu nyumbani kumenoga utazoea😂😂😂😂Kwan lazima kutumia Official whatspp, si maamuzi yangu Nitumie whatspp ipi, hao whatspp official wana mamlaka gani kumpiga mtu BAN kwakutotumia App yao eti
maanake ulivyonijibu utadhani ww ndo mmiliki wa whatspp, kwa ukali as if we ndo owner wa iyo appSijapandwa na wazimu, yaani nipandwe na wazimu kisa WhatsApp? Huwezi kuwa serious bwana mdogo
Am sorry kama nimekukwazamaanake ulivyonijibu utadhani ww ndo mmiliki wa whatspp, kwa ukali as if we ndo owner wa iyo app