Hivi yanga wanaelewa hii katuni

mjukuum

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
5,257
Reaction score
2,850
Najiuliza kama Yanga wanaionaje hii katuni na ujumbe wake
 
Haina shida, sio kukumbukana tu,pia kukumbushana
Yote kwa nia njema tu kimataifa nakuunga mkono jumamosi napiga kitu cha kijani kwa ajili yako ila jumapili kama hutajali njoo unisapoti

Ila mwaka huku huna jipya kabisa kwenye ligi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13]
 
Asante kwa kuonesha kujali ila kila mtu apambane na hali yake.

Nakukumbusha tu kuwa kutangulia sio kufika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…