Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,439
yupo kajaa tele,nenda facebook uone anavyokula bata ukurewe.
yupo kajaa tele,nenda facebook uone anavyokula bata ukerewe.
yupo humuhumu tu, ila kaminya anasubiri mgombea wa CCM ahemee chenji kama kawaida yake
Mkuu Wewe mwenyeji sana huko Ukerewe nini?
Maana Haaa Haaa nimecheka sana kaamua akae kimya japo Watu wanamchora huko huko Ukerewe
Hivi zile RambiRambi za marehem D.Mwangosi(R.I.P) alizirudisha?
Njuri, umekuja kweli? Za hukoHabari zenu lakini?
nasikia juzi tu umeanza kujitegemea baada ya kuish kwa shem wako mda mrefu akaamua kukutimua. Ila wabongo kwa umbeaHabari zenu lakini?
ile Id ya EX COP namachale ni yakeyupo humuhumu tu, ila kaminya anasubiri mgombea wa CCM ahemee chenji kama kawaida yake
Nasikiaga huyo jamaa ni shoga eti...ile Id ya EX COP namachale ni yake
Mkuu utasababisha a-log out kwa swali lako hilo.nasikia juzi tu umeanza kujitegemea baada ya kuish kwa shem wako mda mrefu akaamua kukutimua. Ila wabongo kwa umbea