1.Ada ni very affordable but bado watu walikuwa wanarudishwa nyumbani hawajalipa
2. Tunatumwa mbolea,maua bila mwalimu kuwaza mzazi akimkuta mtoto wake mtaani while anajua yupo shule itakuwaje
3. tunapiga magoti,push up,vichura chura,kucheza gwaride na kupigwa fimbo bila hata kujali mtoto ataenda kusema nyumbani
4. tunakula tu vyakula vilivyotuzunguka,mabungo,embe n'gongo' tena yameshamenywa,ubuyu kachori,bila kupatwa na magonjwa
5. unamsaidia mwalimu kusahihisha madaftari yeye amekaa staff anapiga story na bado tunafaulu
6.mwalimu anaposahau miwani nyumbani au chochote anamtuma yoyote akamchukulie
7.watemi walikuwa weengi kuoneana saa ya kutoka
8.wanaochukuliwa na magari wachache saa ya kutoka mwendo wa kwenda kituoni utafikiri maandamano but kila mtu yuko happy
9.Muda ambao mwalimu hajaingia ndo muda ambao wale wote kwao kwenye tv wanaanza kusimulia sinema
10.Soda ilikuwa mali kweli na ili isiishe pale mnaponunuliwa mnatoboa badala ya kufungua kabisa kizibo
Nani anakumbuka mengineeee