Nkwabichalleslutonja
Member
- Jul 12, 2017
- 84
- 77
Hivi kwa nini wanaume mmeadimika yaan hela ya kushona nguo tu matangazo jamii forum dah.... Hivi wewe vizinga unavijua????? ....mimi sasa hivi metoka kumwomba mtu lak tatu na katoa bila manung,'uniko we kaela kadogo tu matangazo acha ujuha kua mwanaume bhana ndo jukumu lenu kutoa huduma kwa wanawake zenu..... Hivi usipomuhudumia unataka amhudumie nani.... Akichepuka mnalaumu wakati hutimizi majukumu unatarajia nini
Sio kila mtu hana ela..... Kama we huna kuna wenzio wanazo..... Sio Hawa vinuka mkojo ni mtu na heshima zake hukousawa huu nani anaehonga laki tatu mkuu
We nae tulaki 3 basi shida , wakati mwenzio hapa nimetoka show room kitu cha IstHivi kwa nini wanaume mmeadimika yaan hela ya kushona nguo tu matangazo jamii forum dah.... Hivi wewe vizinga unavijua????? ....mimi sasa hivi metoka kumwomba mtu lak tatu na katoa bila manung,'uniko we kaela kadogo tu matangazo acha ujuha kua mwanaume bhana ndo jukumu lenu kutoa huduma kwa wanawake zenu..... Hivi usipomuhudumia unataka amhudumie nani.... Akichepuka mnalaumu wakati hutimizi majukumu unatarajia nini
Unapotezea tu mkuu, mtu mwenyewe mpenzi tu mke ndio hudumia kiroho safi.unampez wako Mara unaskia unaambiwa Wang nipe hela nilipie nguo nimeshona kwa fundi hata hujamtaarifu ,swali je?umeajuaje kama atakuwa nayo hiyo hela unayodaiwa na huyo fundi kwangu binafsi hiyo nachukulianga zarau na always siwez kukupa kwani ni picha mbaya inaashiria utakuwa na deserve mwingine kwamba hata ukikataa fulan atalipia ,hii kwenu imekaaje wa jf.
Hivi kwa nini wanaume mmeadimika yaan hela ya kushona nguo tu matangazo jamii forum dah.... Hivi wewe vizinga unavijua????? ....mimi sasa hivi metoka kumwomba mtu lak tatu na katoa bila manung,'uniko we kaela kadogo tu matangazo acha ujuha kua mwanaume bhana ndo jukumu lenu kutoa huduma kwa wanawake zenu..... Hivi usipomuhudumia unataka amhudumie nani.... Akichepuka mnalaumu wakati hutimizi majukumu unatarajia nini
Mhhhh wote hatufanyi kaz mojaHivi kwa nini wanaume mmeadimika yaan hela ya kushona nguo tu matangazo jamii forum dah.... Hivi wewe vizinga unavijua????? ....mimi sasa hivi metoka kumwomba mtu lak tatu na katoa bila manung,'uniko we kaela kadogo tu matangazo acha ujuha kua mwanaume bhana ndo jukumu lenu kutoa huduma kwa wanawake zenu..... Hivi usipomuhudumia unataka amhudumie nani.... Akichepuka mnalaumu wakati hutimizi majukumu unatarajia nini
Mpe mzee ndo uanaumee huoooKuna mmoja hapa
Wa chuo katoka kunipga
Kiznga cha lak ya matumiz
Na anaisst iswe chin ya laki