Hivi utakuwa na team ngapi?

balaa gani tena rafiki? fafanua
kwa hisani ya maneno yako hapa chini

Inanishangaza sana sielew kwanini watu wanajichanganya sana
yaaini mtu huyo huyo anagombewa na watu double double
halafu huyo huyo naye anajichanganya kwa lugha laini kwa
wote bila ya wao kujijijua halafu anasema amewin kumbe
hajawini chochote ndo kwanza anajipalia mkaa kwenye mkoka

Wewe kwanini unakluwa TEAM mbili kwanini usichague mmojawapo
 
sio lazima kujua nimeolewa na nani mjengoni hapa
hata ukitaka kujua itakusaidia nini huongezwi kimo
wala kupunguziwa miaka sasa nini kinachokuwasha?

Mind your business mkaka

kumbe uliwahi kunijibu hivi?
nimekusamehe bure.
 
kwako Excel unayesema kuwa tumemuingilia mwekundu kwenye chama chake
haya sasa ona soo hapa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…